Saed Kubenea ni afisa wa Tiss? Habari zake huwa ni kweli 100% zaidi ya Britannica

Ni hso hao wanaopwkekeshwa na shoga mmoja..ni wapuuzi tu km wapuuzi wengine.
 
Kuwa mtu mwenye busara. Hapa tunazungumzia Tiss kama idara ya taifa sio mali ya mtu. Hao wajinga wanaotishia watu bastola hawajitambui.
Mbona saa hivi inatumika km mali ya mtu..hamna kitu wapuuzi tuu..kuteka na kuf*ra nayo ni Akili?kuogopa mawazo makubwa nayo ni Akili??
 
Ninachoamini ni kuwa kuna watu wema hawapendi yanayoendelea na hao wanawatafuta watua ambao wanaweza paza sauti kwa namna yyt ile including kuandika.
 
Na akaja akarudi Tena wizara ya mambo ya ndani kabla ya kifo chake
 
Wewe unaweza kua na akili tu za kuzaliwa..ila wale jamaa wanafundishwa logic nyingi sana za kimazingira hata kama mtu alikua mpumbavu kabisa anaweza kuanza kuangalia mambo kama mtu mwerevu.
This is interesting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…