Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Anacheza Nuno Santos anakaa bencji Allende sio Zwane..Dah wamrudishe tu pitso , naona maamuzi yake ya kumpiga benchi themba zwane mashabiki wengi wanalalamika mno , ila umri na kazi ngumu sana hasa kwa umri wa 37 kwenye mpira🤔 lazima damu changa zipate nafasi na uvumilivu wa kusuka kikosi upya ulihitajika tu
Pitso kapewa Timu yao ya TaifaDah wamrudishe tu pitso , naona maamuzi yake ya kumpiga benchi themba zwane mashabiki wengi wanalalamika mno , ila umri na kazi ngumu sana hasa kwa umri wa 37 kwenye mpira🤔 lazima damu changa zipate nafasi na uvumilivu wa kusuka kikosi upya ulihitajika tu
Zwane bado anakula namba?Anacheza Nuno Santos anakaa bencji Allende sio Zwane..
Hahaha bwashee kazi ni kazi, hawa wameshachizika hawaMchukueni hata juma kaseja atawavusha kwenye hili😄
Ikawaje huko?Hakufukuzwa Ila alipata ofa nzuri kule belozdady
Ila jamaa anajua kutupia code, huenda ndo mtafurahia mavazi yake.. Na wanakuja huku kupata fame tu alaf wakishatambulika na Vila u vikubwa wanawaachia timu yenuAlishindwa kutupeleka robo fainali tena game ya mwisho tulikua nyumbani. Kituko eti pacome alianzia benchi. Kweli game ya muhimu wachezaji wako bora unawaachaje nje
Saed ramovic kasharudi yanga kesho ndio anatambulishwa
Gusa achia twende kwao imerudi tena,
Kama asipotambulishwa hii account yangu ifungiwe
Uongo.Gamondi ndiyo hamna kitu alitembelea upepo wa Nasridine nabi
Anacheza dakika chache wamemuongezea muda ili astaafu tu huu mwaka mmoja na ajipange na life ya mtaani..Zwane bado anakula namba?
Mpira wa Nabi ulikuwa wa ukabaji sana, walau tuseme huyo Miloud.Makocha wenye sifa ya kurudi Yanga kwa sasa ni wawili; Miloud Hamdi na Nasreddine Nabi. The rest ni takataka tu.
Mimi naamini uongozi utatafuta kocha mpya na mwenye CV kubwa kwenye soka la Afrika badala ya kuendelea na utaratibu wao wa kuokoteza makapi na watu wa kuja kuboreshaa CV zao.
Kwani wanashindwa nini kumrudisha Gamondi hata kwa mda tu, ili mradi tu awahakikishie atazibiti nidhamu ya wachezaji.
Ikawaje huko?
Bado mnamuamini?
Kwa hyo akirudi akapata tena ofa Nzuri ataondoka.
Ila jamaa anajua kutupia code, huenda ndo mtafurahia mavazi yake.. Na wanakuja huku kupata fame tu alaf wakishatambulika na Vila u vikubwa wanawaachia timu yenu
Uongo.
Msaliti ni msaliti.Ngoja nikupe elimu kidogo hapa duniani yupo kimaslahi sio manufaa ya timu ndiyo maana kocha wako fadlu Davids alipata ofa raja Casablanca akaondoka Hilo Ni Jambo la kawaida kwenye football business
Huyo mgeni humuWewe mgeni humu.
Shabiki wa mpira humu tunajuana.
Mimi shabiki wa Yanga.
Wauliuze akina Its Pancho , ngara23 , Shadeeya , Kalpana na wengine wengi
Msaliti ni msaliti.
Hata chama mwenyewe binafsi yangu sijapenda kurudi Kwake Simba.
KOSA LA USALITI MIMI UWA SISAMEHI
Maslahi huku anawaumiza?Kwenye mpira hakuna usaliti mkuu mchezaji hawezikuwa wakwako yule yupo kimaslahi
😂😂 yawezekana ndiyo chaguo la Heris maana yule akiamua hakuna wa kupinga pale YangaMoja ya Wagogo wa hovyo kuwahi kutokea duniani baada ya Ndugai basi ni wewe kibaigwa finest!
Huyo mtu mwenyewe unayempigia chapuo aliondoka Yanga kwa nyodo! Huoni akirejeshwa mashabiki tutamfukuzisha ndani ya muda mfupi?