Trump unamskiliza peke yako na walokole wenzio msio na akili timamu😆😆watu wenye akili walishampuuzaIran safari hii lazima watatema ndoano!!!
Tulisema humu kaishiwa silaha ndio maana anataka mazungumzo. Kwani si alifanya mashambulio wiki mbili zote ilibadilisha nini au Iran kapata hasara gani? Mbona wameshindwa kuifungua Hormuz mpaka leo?Iran safari hii lazima watatema ndoano!!!
Unajua Trump na Netanyahu wameshapata Breakfast sahizi,vipi mwenzetu umeshakunywa chai asubuhi hii?Sawa Mwarabu-koko!!
Sawa Trump ambaye umekuja kumpigia mapambo humu kama kawaida yake kakimbia ndio maana nilikwambia watu wenye akili timamu walishampuuzaUzuri Mimi sinywi chai asubuhi Mimi nakuambia mihogo na vizazi !!
Acha ujinga umemezeshwa upumbavu na wewe ukameza bila kuangalia uhalisia wake!!Nilisema naomba nirudie! Iran unaoijua ww na unayohadithiwa ww na media za magharibi!! Na Iran halisi ni nchi mbili tofauti sana!!
Teknolojia gani wanayo mpaka wamepoteza karibu viongozi wao wote mbona hiyo Teknolojia haikumlinda Ayatollah Ali Khamenei na Makamanda waandamizi wa kijeshi wa IRGC? Mungu alikipa akili zitumie vizuri acha kuwaramba makalio Magaidi!!Speaking from Experience tu, ya wahusika na back up ya washkaji zao! North Korea, Russia, n China na wanapeana kila kitu mpaka Technology,
Acha ujinga kusifia watu ambao hawana sifa yoyote sifa yao kubwa ni kuunga mkono vikundi vya kigaidi tu!!Achana na hao maarufu sana kuna wa kurdi wa Iran na wale wa Yemen wanaotembeaga peku makazi yao jangwani najua hujawahi kuwasikia, nawaongeza wale jamaa wa Iraq movement ukipata muda tafuta mtu aliefanya kazi au kusoma ukanda huo, wale watu wana miongoni ma Engeneer bora waliowahi kutokea dunia hii vizazi kwa vizazi kasome vitabu vya Historia, NATO na EU sio wajinga kutokutia mguu pale,
Rubio na Trump waimba taarabu, hawana tofauti na Baiskeli ya kunoa visu kelele kibao hawafiki popote, wadanganyeni waje Aridhini washuhudie show yake, Arach aliwaambia nn anawasubiri tdust me kwa hazina na uwezo wao kivita na kutengeneza silaha na makombora Manuari zitaisha na washenzi wapo palepale, Ile ni natural fotress vitabu vya historia vina kurasa nyingi sana za hadithi za wavamizi wa waajemi From Alexander the Great, Gengis khan to Sadam Hussain ambae alipewa na backup na haohao US yet 8 years hakutoboa, ukitaka kubet Be my guest!! Ila mtu mzima kadhalilika hii!!!
Trump hana maarifa ya kuipiga iranIran safari hii lazima watatema ndoano!!!
Ayatullah yuko firdaius uko..kawasaidieUnaripot ukitokea vigwaza makao makuu ya CIA pwani
We mlokole inaonekana unaichukia sana IraniIran safari hii lazima watatema ndoano!!!
Nilisema naomba nirudie! Iran unaoijua ww na unayohadithiwa ww na media za magharibi!! Na Iran halisi ni nchi mbili tofauti sana!!
Speaking from Experience tu, ya wahusika na back up ya washkaji zao! North Korea, Russia, n China na wanapeana kila kitu mpaka Technology, Achana na hao maarufu sana kuna wa kurdi wa Iran na wale wa Yemen wanaotembeaga peku makazi yao jangwani najua hujawahi kuwasikia, nawaongeza wale jamaa wa Iraq movement ukipata muda tafuta mtu aliefanya kazi au kusoma ukanda huo, wale watu wana miongoni ma Engeneer bora waliowahi kutokea dunia hii vizazi kwa vizazi kasome vitabu vya Historia, NATO na EU sio wajinga kutokutia mguu pale,
Rubio na Trump waimba taarabu, hawana tofauti na Baiskeli ya kunoa visu kelele kibao hawafiki popote, wadanganyeni waje Aridhini washuhudie show yake, Arach aliwaambia nn anawasubiri tdust me kwa hazina na uwezo wao kivita na kutengeneza silaha na makombora Manuari zitaisha na washenzi wapo palepale, Ile ni natural fotress vitabu vya historia vina kurasa nyingi sana za hadithi za wavamizi wa waajemi From Alexander the Great, Gengis khan to Sadam Hussain ambae alipewa na backup na haohao US yet 8 years hakutoboa, ukitaka kubet Be my guest!! Ila mtu mzima kadhalilika hii!!!
Acha ujinga umemezeshwa upumbavu na wewe ukameza bila kuangalia uhalisia wake!!
Hivi wewe mjinga Iran unayoiramba Makalio ndiyo ile iliyopoteza viongozi wake wakuu na kisha ikampoteza na kiongozi wake Mkuu Ayatollah Ali Khamenei? Au wewe unaongelea Iran gani?
Teknolojia gani wanayo mpaka wamepoteza karibu viongozi wao wote mbona hiyo Teknolojia haikumlinda Ayatollah Ali Khamenei na Makamanda waandamizi wa kijeshi wa IRGC? Mungu alikipa akili zitumie vizuri acha kuwaramba makalio Magaidi!!
Acha ujinga kusifia watu ambao hawana sifa yoyote sifa yao kubwa ni kuunga mkono vikundi vya kigaidi tu!!
Ni kitu kile kile si vitu viwili tofauti maana viongozi wote waliangamizwa kipindi hichohicho cha vita kwa hiyo acha ujinga wako!!!Kushindwa Vita na kupoteza Viongozi ni vitu viwili tofauti 🫎🫎🫎
Kwa kuwa wewe ni Mjinga na Mpumbavu ndiyo maana huamini hivyo lakini ukweli utabaki hapo hapo Iran imepoteza viongozi wake wengi akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei.Marekani hakuazisha Vita ili tu kuwauwa Viongozi wa Iranian mimi siamini ivyo👈
Kuna faida kubwa sana Magaidi yapoangamizwa wajinga tu kama wewe huwezi kuona hiyo faida ya kuokoa vizazi vijazo!!Sababu hakuna Faida yoyote kuwauwa Viongozi wa Iranian bila kuuwangusha Utawala
wenyewe!!🦘
Kuuwawa kwa Magaidi ni faida kwa ulimwengu uliostaarabika maana Dunia bila ugaidi inawezekana!!Sasa leo tupe Faida baada kufa wale Viongozi JE Marekani imapata faida ipi jibu????
Iran hana ubavu hata wa kurusha jiwe Tel aviv baada ya viongozi wake wengi kuangamizwa na majeshi ya Israel!!Kwasasa nikama Iranian ipo kwenye kilele cha wapenda Vita wenyewe👈
MOTO unapelekwa ni mkubwa zaidi
Kuliko uko nyuma👈
Hayo ni mawazo ya kujifariji tu ambayo hayana ukweli!!Kwasasa Trump na Israel wanatafuta kumaliza Vita hawajui wafanyeje!❗️🦘
Utazunguka weee lakini hakuondoi ukweli kuwa Iran imepoteza viongozi wa kiraia na kijeshi akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei!!!!!Kwaiyo ukisema wamefanikiwa kuwauwa Viongozi wa Iranian tunaomba ambatanisha na Faida zake itapendeza👈