Safari hii Iran lazima anyooshe maelezo kwa Trump!!

Safari hii Iran lazima anyooshe maelezo kwa Trump!!

Acha ujinga umemezeshwa upumbavu na wewe ukameza bila kuangalia uhalisia wake!!

Hivi wewe mjinga Iran unayoiramba Makalio ndiyo ile iliyopoteza viongozi wake wakuu na kisha ikampoteza na kiongozi wake Mkuu Ayatollah Ali Khamenei? Au wewe unaongelea Iran gani?


Teknolojia gani wanayo mpaka wamepoteza karibu viongozi wao wote mbona hiyo Teknolojia haikumlinda Ayatollah Ali Khamenei na Makamanda waandamizi wa kijeshi wa IRGC? Mungu alikipa akili zitumie vizuri acha kuwaramba makalio Magaidi!!

Acha ujinga kusifia watu ambao hawana sifa yoyote sifa yao kubwa ni kuunga mkono vikundi vya kigaidi tu!!
Sawa nendeni mkafungue hormuz hizi taarabu hazitasaidia lolote kijana
 
Kushindwa Vita na kupoteza Viongozi ni vitu viwili tofauti 🫎🫎🫎

Marekani hakuazisha Vita ili tu kuwauwa Viongozi wa Iranian mimi siamini ivyo👈

Sababu hakuna Faida yoyote kuwauwa Viongozi wa Iranian bila kuuwangusha Utawala
wenyewe!!🦘

Sasa leo tupe Faida baada kufa wale Viongozi JE Marekani imapata faida ipi jibu????

Kwasasa nikama Iranian ipo kwenye kilele cha wapenda Vita wenyewe👈
MOTO unapelekwa ni mkubwa zaidi
Kuliko uko nyuma👈

Mzee Ayatollah japo alikuwa na busara za kutoa nafasi za mazungumzo👈

lkn kwasasa Iranian ipo tofauti tumeona juzi
Ni Iranian imekiuka kusitisha Vita manake kwasasa Iranian ipo tayali zaidi kivita Kuliko uko nyuma!!

Kwasasa Trump na Israel wanatafuta kumaliza Vita hawajui wafanyeje!❗️🦘

Kwaiyo ukisema wamefanikiwa kuwauwa Viongozi wa Iranian tunaomba ambatanisha na Faida zake itapendeza👈
Ndugu hao viongozi wamewauwa wakati walikuwa kwenye mazungumzo ya peace kumbe wavaa misalaba wao ni waongo kama role model wao Paul
 
Ndugu hao viongozi wamewauwa wakati walikuwa kwenye mazungumzo ya peace kumbe wavaa misalaba wao ni waongo kama role model wao Paul
No matter what Jeshi la Iran lilikuwa lime ends wapi wakati viongozi wakuu wa nchi hiyo wanauliwa Kama Nguruwe?
 
Kumbe unapenda mihogo sio ndio sababu akili zako kama za Trump


View: https://youtube.com/shorts/vX3umNmNOC8?si=sMVq7H6roZNzwx9d

Afu anakuambia Iran ameomba poa wakati week tatu alisema hataki ku deal na Iran tena isipokuwa kwa vita

Kwa kuuliwa viongozi wake zaidi ya 600 Iran imeonyesha ni jinsi gani ni dhaifu mbele ya majeshi ya Israel!!

Mwamba waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu safari hii ya kuwapimia Sanaa na majeneza magaidi wote hasa Wafuga Midevu na Majini!!
 

Attachments

  • IMG_4840.jpeg
    IMG_4840.jpeg
    112.6 KB · Views: 9
  • IMG_2452.jpeg
    IMG_2452.jpeg
    167.2 KB · Views: 10
  • IMG_3366.jpeg
    IMG_3366.jpeg
    347.7 KB · Views: 9
  • IMG_3335.png
    IMG_3335.png
    792.8 KB · Views: 7
  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 9
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 9
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 8
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 6
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 8
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 10
  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 11
Kuna jamaa kamuita mtu poli huyo..anadanganya yupo Israel..angefika huku asingewathamini hawa watu ka anavofanya.
Israel inawatendea haki magaidi wote huko Mashariki ya Kati hadi Uajemi magaidi wanapelekewa moto kwa nyuma!!
 

Attachments

  • IMG_4908.png
    IMG_4908.png
    890.4 KB · Views: 9
  • IMG_4910.jpeg
    IMG_4910.jpeg
    84.2 KB · Views: 8
  • IMG_4973.png
    IMG_4973.png
    2.2 MB · Views: 9
  • IMG_5031.jpeg
    IMG_5031.jpeg
    83.3 KB · Views: 11
  • IMG_5070.jpeg
    IMG_5070.jpeg
    105.7 KB · Views: 9
  • IMG_5552.jpeg
    IMG_5552.jpeg
    151.9 KB · Views: 9
  • IMG_5553.jpeg
    IMG_5553.jpeg
    365.7 KB · Views: 9
  • -5335622224173865214.mp4
    1.9 MB
Iran safari hii lazima watatema ndoano!!!
Ukweli mchungu lakini ni tiba!!!! Punguza propaganda na jaribu kutumia akili hata za kuvukia barabara hata kama unalipwa!!

​

Exclusive: US military asks troops for ‘creative and unconventional’ ideas to punish Iran​


The request from a senior officer at the US military command carrying out President Donald Trump’s war with Iran came in an email: We need ideas.

“You need creative minds at times — especially if you’re running out of conventional options.”

PUBLISHED Aug 3, 2026


 
Ukweli mchungu lakini ni tiba!!!! Punguza propaganda na jaribu kutumia akili hata za kuvukia barabara hata kama unalipwa!!

​

Exclusive: US military asks troops for ‘creative and unconventional’ ideas to punish Iran​


The request from a senior officer at the US military command carrying out President Donald Trump’s war with Iran came in an email: We need ideas.

“You need creative minds at times — especially if you’re running out of conventional options.”

PUBLISHED Aug 3, 2026


Shida ni kwamba huwezi kutumia kitu ambacho huna
Ila pengine anacho !!!
 
Back
Top Bottom