Sawa nendeni mkafungue hormuz hizi taarabu hazitasaidia lolote kijanaAcha ujinga umemezeshwa upumbavu na wewe ukameza bila kuangalia uhalisia wake!!
Hivi wewe mjinga Iran unayoiramba Makalio ndiyo ile iliyopoteza viongozi wake wakuu na kisha ikampoteza na kiongozi wake Mkuu Ayatollah Ali Khamenei? Au wewe unaongelea Iran gani?
Teknolojia gani wanayo mpaka wamepoteza karibu viongozi wao wote mbona hiyo Teknolojia haikumlinda Ayatollah Ali Khamenei na Makamanda waandamizi wa kijeshi wa IRGC? Mungu alikipa akili zitumie vizuri acha kuwaramba makalio Magaidi!!
Acha ujinga kusifia watu ambao hawana sifa yoyote sifa yao kubwa ni kuunga mkono vikundi vya kigaidi tu!!
Kichaa lazima akubaliane na kichaa mwenzake 🤣Iran safari hii lazima watatema ndoano!!!
Ndugu hao viongozi wamewauwa wakati walikuwa kwenye mazungumzo ya peace kumbe wavaa misalaba wao ni waongo kama role model wao PaulKushindwa Vita na kupoteza Viongozi ni vitu viwili tofauti 🫎🫎🫎
Marekani hakuazisha Vita ili tu kuwauwa Viongozi wa Iranian mimi siamini ivyo👈
Sababu hakuna Faida yoyote kuwauwa Viongozi wa Iranian bila kuuwangusha Utawala
wenyewe!!🦘
Sasa leo tupe Faida baada kufa wale Viongozi JE Marekani imapata faida ipi jibu????
Kwasasa nikama Iranian ipo kwenye kilele cha wapenda Vita wenyewe👈
MOTO unapelekwa ni mkubwa zaidi
Kuliko uko nyuma👈
Mzee Ayatollah japo alikuwa na busara za kutoa nafasi za mazungumzo👈
lkn kwasasa Iranian ipo tofauti tumeona juzi
Ni Iranian imekiuka kusitisha Vita manake kwasasa Iranian ipo tayali zaidi kivita Kuliko uko nyuma!!
Kwasasa Trump na Israel wanatafuta kumaliza Vita hawajui wafanyeje!❗️🦘
Kwaiyo ukisema wamefanikiwa kuwauwa Viongozi wa Iranian tunaomba ambatanisha na Faida zake itapendeza👈
Trump kisha changanyikiwa alidhani Iran VenezuelaSawa nendeni mkafungue hormuz hizi taarabu hazitasaidia lolote kijana
No matter what Jeshi la Iran lilikuwa lime ends wapi wakati viongozi wakuu wa nchi hiyo wanauliwa Kama Nguruwe?Ndugu hao viongozi wamewauwa wakati walikuwa kwenye mazungumzo ya peace kumbe wavaa misalaba wao ni waongo kama role model wao Paul
Kumbe unapenda mihogo sio ndio sababu akili zako kama za TrumpUzuri Mimi sinywi chai asubuhi Mimi nakuambia mihogo na vizazi !!
Kwa kuuliwa viongozi wake zaidi ya 600 Iran imeonyesha ni jinsi gani ni dhaifu mbele ya majeshi ya Israel!!Kumbe unapenda mihogo sio ndio sababu akili zako kama za Trump
View: https://youtube.com/shorts/vX3umNmNOC8?si=sMVq7H6roZNzwx9d
Afu anakuambia Iran ameomba poa wakati week tatu alisema hataki ku deal na Iran tena isipokuwa kwa vita
Kuna jamaa kamuita mtu poli huyo..anadanganya yupo Israel..angefika huku asingewathamini hawa watu ka anavofanya.Unaripot ukitokea vigwaza makao makuu ya CIA pwani
Israel inawatendea haki magaidi wote huko Mashariki ya Kati hadi Uajemi magaidi wanapelekewa moto kwa nyuma!!Kuna jamaa kamuita mtu poli huyo..anadanganya yupo Israel..angefika huku asingewathamini hawa watu ka anavofanya.
Ukweli mchungu lakini ni tiba!!!! Punguza propaganda na jaribu kutumia akili hata za kuvukia barabara hata kama unalipwa!!Iran safari hii lazima watatema ndoano!!!
Shida ni kwamba huwezi kutumia kitu ambacho hunaUkweli mchungu lakini ni tiba!!!! Punguza propaganda na jaribu kutumia akili hata za kuvukia barabara hata kama unalipwa!!
Exclusive: US military asks troops for ‘creative and unconventional’ ideas to punish Iran
The request from a senior officer at the US military command carrying out President Donald Trump’s war with Iran came in an email: We need ideas.
“You need creative minds at times — especially if you’re running out of conventional options.”
PUBLISHED Aug 3, 2026