min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Havuki 27Una miaka mingapi binti!
Havuki 27Una miaka mingapi binti!
Shalom shalomNdio tatizo la kuwaonjesha wanaume wa mikoani mambo ya daslam mnawachanganya..!! 😹😹😹
Kumbe aliichapa? Basi haina shida muhimu jamaa alisha ichapa.Ndio tatizo la kuwaonjesha wanaume wa mikoani mambo ya daslam mnawachanganya..!! 😹😹😹
Wanawake wa zamani ukiichapa anakuganda kweli kweli , ila wasasa ukiichapa anaganduka ili na mwenzako akaichape tenaKumbe aliichapa? Basi haina shida muhimu jamaa alisha ichapa.
Kafinyiwa kwa ndani msukuma wa watu kapagawa, kawa na wivu kama nyegere(honey badger).Ndio tatizo la kuwaonjesha wanaume wa mikoani mambo ya daslam mnawachanganya..!! 😹😹😹
I'd ya wife material utajuaje ni kakipande kidogo ka nyama kwenye mtego wa panya?Umemkataa huyo kisa ana wivu,kila binadamu ana mapungufu yake,hata wewe una mapungufu yako,inaonekana jamaa alikupenda sana,
Kama mwenye wivu umeshindwa kumvumilia,je mwenye tabia ipi ndio utaweza kumvumilia?
Ulifanya vizuri sana kubadili ile ID yako ya Wife matearial.
Kumbe ile ID ilikua ni mtego?I'd ya wife material utajuaje ni kakipande kidogo kwenye mtego wa panya?View attachment 3543216
Sema jamaa kuna namna anaonekana katumia pesa zake kumshawishi huyo bi dada awe nae , kuna namna mwamba ni goigoi fulani hivi kwa maelezo ya huyu bibieKumbe ile ID ilikua ni mtego?
Hiki kisa kimenifanya nione jamaa ame epuka makubwa sana huko mbeleni,Mwanamke katoka na watu walio kwenye ndoa,Mume na Mke kisha akarudi saa 7 usiku! Hakuna Mwanaume wa kuivumilia hii sinema.
Ni kweli mwamba ni goi goi na huyu Dada alisha anza kumpanda kichwani,hata huo mtoko kisha akarudi saa 7 usiku,inaonekana huyu Dada alifosi kwenda bila ruhusa ya jamaa,Sema jamaa kuna namna anaonekana katumia pesa zake kumshawishi huyo bi dada awe nae , kuna namna mwamba ni goigoi fulani hivi kwa maelezo ya huyu bibie
Wivu wa huyu mtu umepitiliza (too much is harmful)Kwa nini hautaki mtu mwenye wivu na wewe?
Note:Hii kitu nimeona kwa wanaoziuza wadai hawataki mtu awe ana wivu na yeye, ndio maana nimekuuliza.
Kwa hiyo kurudi saa 7 usiku kwa mwanamke wewe unaona ni kawaida?Wivu wa huyu mtu umepitiliza (too much is harmful)
Kwa tabia zake hawezi kupata mwanamke atakayemvumilia kama mimiNi kweli mwamba ni goi goi na huyu Dada alisha anza kumpanda kichwani,hata huo mtoko kisha akarudi saa 7 usiku,inaonekana huyu Dada alifosi kwenda bila ruhusa ya jamaa,
Sasa hivi jamaa ndio anatakiwa akaze asirudi nyuma,atafute Mwanamke mwingine atakaye muheshimu na kumsikiliza.
Nilimuaga siku moja nyuma ila akajifanya kasahau kama nilimwambia ntatoka na huyo jirani na pia sikuwa peke yangu sioni kama kuna tatizo hapo.Kwa hiyo kurudi saa 7 usiku kwa mwanamke wewe unaona ni kawaida?
Wewe fanya maamuzi yako tu , ila hakuna mwanaume atakuhudumia halafu akavumilia huo upumbavu labda huyo goigoi wako ambae ipo siku atakukata na shoka hiyo shingo.Nilimuaga siku moja nyuma ila akajifanya kasahau kama nilimwambia ntatoka na huyo jirani na pia sikuwa peke yangu sioni kama kuna tatizo hapo.
Mh! hayo mambo ya kulala yanatoka wapi tena, enewei sijawahi kumpenda yule kaka na tabia zake zimefanya nisimpende kabisaMkuu njaa ya ndoa usikatae wala kubeza, ulikuwa nayo.
Ndiyo nyie hupenda kuelezea mambo kwa kinyume!
Utasikia: ... 'lione sura yake jitu lenyewe bayaa'!
Kumbe kimoyomoyo ushakufa na kuoza kabisa...'sizitaki mbichi hizi'.
Mbinu hizo niliwahi kuzitumia zamani, lakini wife alikuja kunigundua, nikabadili maujanja ya kuonesha kuumizwa na hisia ama tamaa za mapenzi, ilikuwaga nawaponda sana wapenzi wangu mbele yake.
Mtu ashakulala kwa makubaliano ya kufunga ndoa,utasemaje haukuwa na njaa ya ndoa?
Wewe huna akil, huyo jiran yako na bwana wako nani ulitakiwa umsikilize?Nilimuaga siku moja nyuma ila akajifanya kasahau kama nilimwambia ntatoka na huyo jirani na pia sikuwa peke yangu sioni kama kuna tatizo hapo.