Safari moja ilivyotaka kunianzishia safari nyingine ya majuto

Wachaga hao. Watakupiga kiandu
 
Mara alinidanganya idadi ya watoto mara umri hayo yote yanasaidia nini wakati kafuata hela....huyu Kuna namna fulani hivi anauza mali
Huyu ni muuzaji kitambo.
Binti hana utulivu huyu. Hapa JF hana muda mwingi lakini kabadili ID zaidi ya 3.
Hizo ID zake za zamani madudu kibao ya kuachana na wanaume.
Halafu mara zote yeye hujikuta yupo decent tu ila wanaume eti ndo humtia kashkash!

Mleta mada punguza mapepe otherwise hiyo kitu itaburuzwa sana mwishowe ikomae kama ya kenge.
 
Umekuja kunisema mtandaoni sio?
 
uzuri ni kwamba huyo mtu hata kwetu hapajui
Mimi ni mwanaume lakini hapa jamvini hutapata ''fair trial'' kwa sababu wanaume wengi wa Bongo wanataka kumiliki wapenzi wao. Yaani wao wanajiona wana haki ya kufanya lolote lakini wanawake wanatakiwa wafuate masharti na utaratibu watakaopangiwa na wenzao. Aisee shukuru sana kwa kuonyeshwa ''red flags'' mapema namna hiyo na kimbia ufe. Huyo siyo kabisa na ukiendelea naye anaweza kukutoa roho. Yaani ndiyo mmejuana tu na anafanya mazongezonge namna hii? Akikuoa je? Kwanza kitendo cha kukutamkia kuwa anataka kukuoa mapema namna hiyo ni reg flag tosha. Huyo anaongozwa na tamaa na siyo mapenzi. Kuhusu kujituma kwake na kutoa..... hilo nalo ni issue. kiona mwanaume anatumia sana fedha au mafanikio yake kama njia ya kunasa mwanamke fikiria mara mbili....
 
Haiombwi hivyo chief,
Unakasapoti hako kamanzi ili kakupe mbususu?
Mwanamke hataki niwe na wivu naye kwa sababu gani?
Acheni kuwapa sifa wasizostahili hawa makahaba JF in the name of modernity.
 
Hujakosea
 
Tangu nilivyoondoka na kuamua ku move on hata moyo wangu umekuwa na amani, kamwe siwezi kurudi kwenye mahusiano kama hayo.

Red flag nyingine ni hiyo ya kunikataza nisifanye kazi eti ntatongozwa na wengi, kwa madai yake.

Asante sana kwa kunishauri vizuri bila kuvutia kamba upande mmoja kama wengine.
 
Haiombwi hivyo chief,
Unakasapoti hako kamanzi ili kakupe mbususu?
Mwanamke hataki niwe na wivu naye kwa sababu gani?
Acheni kuwapa sifa wasizostahili hawa makahaba JF in the name of modernity.
Naona unatafsiri vibaya hapo kwenye wivu, ni hivi huyo mtu ana wivu kupitiliza elewa hilo ni mtu ambaye muda wote anakuwazia unachit hata ukishika simu anaanza kulalamika kuwa makini na simu hiyo, akipiga au atume meseji zipite dk hata 3 hujapokea anakwambia upo na mtu mwenngine endelea na mambo yako na ananuna na hapo atalalamika mpaka basi. Sidhani kama huu ni wivu wa kawaida mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…