Safari ya gari Cape Town, Afrika Kusini mpaka Dar es Salaam, Tanzania

Ukipitia Namibia ni salama zaidi, ukitoka sesheke mpa livingston njia kdg nichafu (sijui kwasasa km wameboresha) lkn ni salama zaidi na hakuna kero wala mashaka, kuliko kupitia Zimbabwe au Botswana.

Mziki upo ktk border yetu hapo Tunduma TRA.....dahhh [emoji134] Isanga Family ni mtaalamu zaidi atakujuza indeep
 
Dah mkuu matola umenitisha kidogo. Nilikuwa na mpango wa kutinga hapo Sauz kuchukua huyo mnyama hapo chini McLaren Senna 2020 1.5 million USD 30M SRand nimeghairi.
 
Ila msinunue gari mtandaoni SA watu wametapeliwa sana matrekta na gari mnaambiwa sijui bank repo pana utapeli sana hapo siku ntaanzisha uzi wake njia salama ya kununua na kusafirisha gari kutoka ZA...
Tunausubiria mkuu, muhimu sana kupata ushauri toka kwa wazoefu
 
Si plate ya bongo inayo?
 
Kama akiwa na document za export kutoka South Africa akifika border ya Tanzania lazima hio gari ilipiwe ushuru maana export ya nchi ingine kwetu sisi ni import
 
Watu wa Mbeya watakuja kutoa ushuhuda ,maana wameenda huko na kurudi na mgari kwa kupitia Malawi,Zambia.
 
Kwa sisi wenye vibali vya kudumu vya kuishi SA sio lazima...
Hata ukiwa na residence permit document yako kama imekua declared kama EX1 -Permanent Export maana yake hio gari imekua deregistered na hairudi South Africa kwaio ikifika border inakua IM4( import for home use) kwaio itatakiwa ulipie ushuru labda ufanye mchakato ila kama itatoka kwa Temporary Export utakata tu ile Temporary Import Permit - TIP ambayo utapewa either mwezi mmoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…