Safari ya gari Cape Town, Afrika Kusini mpaka Dar es Salaam, Tanzania

Mkuu tupo wote hapa capetown,nakushauri usipite Zimbabwe,pitia botwasa to Zambia.Pia nami ninampango wakurejea bongo hapo january naweza kuungana na wewe mkuu.
 
Kusafiri 5000 km is very simple, cha kushangaza ni utuambie kwa siku ngapi
 
Mimi nimekuuliza tu swali...
 
Mimi nimekuuliza tu

Msanii mmoja alihongwa gari toka sauzi akashindwa kulipia ushuru wakaibeba.

Msalimie zarithebosslady
Ilirudi SA maana hawawezi kuchukua na kuuza gari yenye umiliki wa mtu mwingine ilirudi SA naifahamu hiyo gari ni wasanii wawili imewatokea hiyo ishu..sema vijana ni kama waliwakopa wale wasanii kwa kuwapa gari ambazo ilikua ngumu kwa wasanii kuzilipia kodi wakijua zitarudi tuu nyumbani...
 
Mimi nimekupa utaratibu wa kisheria ila naona wewe umeleta mazoea ya miaka 20 kwaio siku jambo hilo likikukuta usishangae kabisa mzee...hayo magari yenye namba za kigeni yamekua yamoto DSM... labda kama hio gari ni van...etc...
 
Watafute wa kuwafundisha sikumbuki idadi ya gari nilizoleta na pia mimi ni mhasibu sidhani kama pana kitu kipya ntapata kutoka kwako kwa ishu za sheria za kodi iwe Tanzania au SA...
 
Mkuu tupo wote hapa capetown,nakushauri usipite Zimbabwe,pitia botwasa to Zambia.Pia nami ninampango wakurejea bongo hapo january naweza kuungana na wewe mkuu.
Kwanini nisipite Zimbambwe? Kuna changamoto gani hiyo nchi kama ni mgeni?
 
Uz
Uzoefu mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…