Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu nachotaka kufanya hasa ya trekta niende ule mtaa wanaouza hayo hapo Pretoria ni kupata namba zao na Location sasa muda ndio inakua tatizo kidogo ila wengi nawapa location wakitaka kuja na wamefanikiwa bila hata ya kuonana na mimi..Ahadi hii huwa hutimizi mkuu
Mimi nimekupa utaratibu wa kisheria ila naona wewe umeleta mazoea ya miaka 20 kwaio siku jambo hilo likikukuta usishangae kabisa mzee...hayo magari yenye namba za kigeni yamekua yamoto DSM...Ilirudi SA maana hawawezi kuchukua na kuuza gari yenye umiliki wa mtu mwingine ilirudi SA naifahamu hiyo gari ni wasanii wawili imewatokea hiyo ishu..sema vijana ni kama waliwakopa wale wasanii kwa kuwapa gari ambazo ilikua ngumu kwa wasanii kuzilipia kodi wakijua zitarudi tuu nyumbani...
Basi sawa hakiharibiki kitu...😀😀😀Watafute wa kuwafundisha sikumbuki idadi ya gari nilizoleta na pia mimi ni mhasibu sidhani kama pana kitu kipya ntapata kutoka kwako kwa ishu za sheria za kodi iwe Tanzania au SA...
Zambia kutembea mwisho ni saa tatu, nilipita mwaka juzi sijui kama kuna mabadilikoVipi usalama barabarani? Je Namibia na Zambia wanaruhusu kusafiri usiku?
Duh Sasa akikupa lift,BJ kutoka kwa huyo mtoto mzuri ataipataje aisee?Ukipata nafasi unistue nitachangia wese from Capetown
Namibia unasafiri full time , na barabara zao zipo very well posted kupata maja ga ni ngumu sanaVipi usalama barabarani? Je Namibia na Zambia wanaruhusu kusafiri usiku?
Njia hiyo ya beitbridge niliacha kupita miaka mingi sanaView attachment 2325911
View attachment 2325912
View attachment 2325913
Was among the best experience through Zambia,Zimbabwe then South kuwa makini ukivuka Britbridge usilale Mesina kuna wazimbabwe wakatili sana
Usikate tamaa mkuu nakumbuka hata mimi ulinipa maelekezo wapi na lini pa kununua Discovery 4.Mkuu nachotaka kufanya hasa ya trekta niende ule mtaa wanaouza hayo hapo Pretoria ni kupata namba zao na Location sasa muda ndio inakua tatizo kidogo ila wengi nawapa location wakitaka kuja na wamefanikiwa bila hata ya kuonana na mimi..
Umesafiri siku ngapi kati ya Cape town to Dar kupitia Gaborone?Njia hiyo ya beitbridge niliacha kupita miaka mingi sana
Beitbridege ni boarder ambayo madawa ta kulevya yanapita sana , kuna check point nyingi sana hadi unafika polokwane unaweza pata usumbufu wa kusimamishwa simamishwa .
Mabasi ya abiria mengi yanapita hapo yakitokea harare lusaka na bulawayo,bulawayo kuna shida ya illigal immigrants na wengi wa uoande huo ndo wezi wezi , hivyo kuna checkpoints nyingi pia za watu wa uhamiaji
Ningekuwa mimi ningepita lusaka livingstone kazungura boarder francis town gabarone unakuja kutokea uwani mwa jo burg.. anyway good experience
Cape Town ni hakuna gari ya moja kwa moja kutoka TZ, utachua bas kutoka TZ mpaka Zambia, kisha Basi lingine kutoka Zambia mpaka Pretoria au Joburg kupitia Zimbabwe ni rahisi kidogo, then ukifika hapo ndipo utanyanyuka na Basi nyingine kwenda Cape town.Wakuu vp experience ya basi ya abiria kutoka Cape town kuja Tanzania, nauli imekaaje na uchukuwa siku ngap
na kama kuna details zinazohitajika zaid ya Passport, ningependa ufafanuzi kwa anayefaham
Barabara ni lami au vumbi?Ukifika MPIKA, kunja kushoto, moja kwa moja hadi Mbala, vukia border ya Zombe / Kisesya Utatokea SUMBAWANGA.
Utakuja kunishukuru.
Yes ni njia imetulia na haina usumbufu sana hasa pale border, wazo zuri sana hili kuliko pale Mpika unaonyosha hadi chinsali, tunduma border kuna urasimu sana pale wa kukatisha tamaa kabisaUkifika MPIKA, kunja kushoto, moja kwa moja hadi Mbala, vukia border ya Zombe / Kisesya Utatokea SUMBAWANGA.
Utakuja kunishukuru.
anyways ni kama kwenda Dar-mwanza mara tano. 😁, kwahiyo jipange na kila na kheli blazaWakuu, mwaka huu mwishoni nimepanga kufanya safari kuendesha hiyo ndinga kwenye picha kutoka Cape Town South Africa mpaka Dar es Salaam Tanzania karibia Kilomita 5,000.
Kuna yeyote yaliyewahi fanya safari ya namna hiyo, nipate mawili matatu ya barabara na usalama.
View attachment 2325827
Kuna trans lux na Greyhound, check online au nenda ofisi zao Mother City.Wakuu vp experience ya basi ya abiria kutoka Cape town kuja Tanzania, nauli imekaaje na uchukuwa siku ngap
na kama kuna details zinazohitajika zaid ya Passport, ningependa ufafanuzi kwa anayefaham
Nimeona Kajala naye amehongwa Range ina namba za Gauteng Province, nadhani ndio walewale.Ilirudi SA maana hawawezi kuchukua na kuuza gari yenye umiliki wa mtu mwingine ilirudi SA naifahamu hiyo gari ni wasanii wawili imewatokea hiyo ishu..sema vijana ni kama waliwakopa wale wasanii kwa kuwapa gari ambazo ilikua ngumu kwa wasanii kuzilipia kodi wakijua zitarudi tuu nyumbani...
Kwanza unapaswa kujuwa South Africa system yao magari ya kutoka Japan wanayapiga ushuru kisawasawa, sababu wao wanatengeneza magari, unafuu wa magari South Africa ni kwa magari wanayotengeza wao.Umesafiri siku ngapi kati ya Cape town to Dar kupitia Gaborone?
Bei ya gari kama Ist (old model) huko Cape town bei gani show room?
Zombe boda ya ki mchongo sana ile[emoji1787]Ukifika MPIKA, kunja kushoto, moja kwa moja hadi Mbala, vukia border ya Zombe / Kisesya Utatokea SUMBAWANGA.
Utakuja kunishukuru.
SA Kuwa makiniTumerudi kupata Mrejesho