Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

FOM.
Wengine tubapambana na NICOL wetu na CRDB, mtatukumbuka baadae,
 
Hata mm nashangaa hili sana kwenye soko, sijui kwa nini hawaioni potential ya nicol.
Wanahisa wapya wanaamini baada ya split itapanda tena kufika 15k. big players wanasoma ramani, baaday ya gawio wanauza wanaacha watu na machozi, yetu macho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…