Safari ya Mwanza - Dar Kwa bus ni adhabu

Ndo ivo hatuna option aisee
Dar-Bukoba ni safari ndefu mno Kwa bus haifai.
Bus inatakiwa uishie Dodoma
Safari masaa 48 Kwa bus ni mengi mno
Kweli kabisa. Tangu waondoe fastjet kwa sisi walalahoi, mambo yamekuwa magumu sana. Dar- Mwanza parefu sana.
Bora usafiri hadi Dom upumzike then Uanze tena upya safari baada ya siku moja au 2. Moja kwa moja inatesa sana
 
Hata kwa usalama, Dodoma to Dar hapafai kwa gari, roho mkononi
 
wewe kiboko
 
Kweli kabisa. Tangu waondoe fastjet kwa sisi walalahoi, mambo yamekuwa magumu sana. Dar- Mwanza parefu sana.
Bora usafiri hadi Dom upumzike then Uanze tena upya safari baada ya siku moja au 2. Moja kwa moja inatesa sana
Kweli kabisa
Nauli ya ndege ingekuwa japo laki 2 kutoka Mwanza _Dat
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…