Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Lakini Kassimu Hanga alipotea kabla ya mauaji ya Karume. What happened?Baada ya mapinduzi Babu yeye alipelekwa bara na kupewa cheo cha uwaziri. Lakini alituhumiwa kuwa yeye ndiyo organiser wa lile kundi lililomuua Karume.
Alisalimika (yeye na Ali Mahfoudh) kwa vile walikamatwa bara na walifungwa bara.