Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,160 Reaction score 9,151 Dec 6, 2022 #21 bitimkongwe said: Baada ya mapinduzi Babu yeye alipelekwa bara na kupewa cheo cha uwaziri. Lakini alituhumiwa kuwa yeye ndiyo organiser wa lile kundi lililomuua Karume. Alisalimika (yeye na Ali Mahfoudh) kwa vile walikamatwa bara na walifungwa bara. Click to expand... Lakini Kassimu Hanga alipotea kabla ya mauaji ya Karume. What happened?
bitimkongwe said: Baada ya mapinduzi Babu yeye alipelekwa bara na kupewa cheo cha uwaziri. Lakini alituhumiwa kuwa yeye ndiyo organiser wa lile kundi lililomuua Karume. Alisalimika (yeye na Ali Mahfoudh) kwa vile walikamatwa bara na walifungwa bara. Click to expand... Lakini Kassimu Hanga alipotea kabla ya mauaji ya Karume. What happened?
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Dec 6, 2022 #22 Ndahani said: Lakini Kassimu Hanga alipotea kabla ya mauaji ya Karume. What happened? Click to expand... Nadhani Mohammed Said ameelezea vizuri kisa cha Hanga humu kwenye mitandao.
Ndahani said: Lakini Kassimu Hanga alipotea kabla ya mauaji ya Karume. What happened? Click to expand... Nadhani Mohammed Said ameelezea vizuri kisa cha Hanga humu kwenye mitandao.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Dec 7, 2022 #23 Ndahani said: Lakini Kassimu Hanga alipotea kabla ya mauaji ya Karume. What happened? Click to expand... ..nitaeleza kwa kifupi. ..ukitaka kisa kizima tafuta maandiko ya Mohamed Said au Ahmed Rajab. ..Abdulah Kassim Hanga alikamatwa na vyombo vya dola aliporejea D'Salaam toka ughaibuni. ..siku moja kukawa na mkutano wa hadhara jijini D'Salaam ambao mgeni rasmi alikuwa Rais Mwalimu Nyerere. ..Hanga alitolewa mahabusu alipokuwa anashikiliwa na kuletwa ktk mkutano huo na kupandishwa jukwaani. ..baada ya hapo Mwalimu Nyerere alitoa maneno makali dhidi ya Abdulah Kassim Hanga akimuelezea kama mtu wa hovyo na asiyefaa. ..taarifa zinasema baada ya mkutano huo Hanga alisafirishwa kwa ndege kwenda Zanzibar ambako alikabidhiwa kwa wanausalama wa Serikali ya Zanzibar. ..Abdulah Kassim Hanga hajaonekana tena tangu aliporejeshwa Zanzibar. ..Wengi wanauliza, Abdulah Kassim Hanga na wenzake wako wapi? Mohamed Said kwasababu umeandika kuhusu suala hili, kama kuna mahali nimekosea naomba urekebishe.
Ndahani said: Lakini Kassimu Hanga alipotea kabla ya mauaji ya Karume. What happened? Click to expand... ..nitaeleza kwa kifupi. ..ukitaka kisa kizima tafuta maandiko ya Mohamed Said au Ahmed Rajab. ..Abdulah Kassim Hanga alikamatwa na vyombo vya dola aliporejea D'Salaam toka ughaibuni. ..siku moja kukawa na mkutano wa hadhara jijini D'Salaam ambao mgeni rasmi alikuwa Rais Mwalimu Nyerere. ..Hanga alitolewa mahabusu alipokuwa anashikiliwa na kuletwa ktk mkutano huo na kupandishwa jukwaani. ..baada ya hapo Mwalimu Nyerere alitoa maneno makali dhidi ya Abdulah Kassim Hanga akimuelezea kama mtu wa hovyo na asiyefaa. ..taarifa zinasema baada ya mkutano huo Hanga alisafirishwa kwa ndege kwenda Zanzibar ambako alikabidhiwa kwa wanausalama wa Serikali ya Zanzibar. ..Abdulah Kassim Hanga hajaonekana tena tangu aliporejeshwa Zanzibar. ..Wengi wanauliza, Abdulah Kassim Hanga na wenzake wako wapi? Mohamed Said kwasababu umeandika kuhusu suala hili, kama kuna mahali nimekosea naomba urekebishe.
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Dec 5, 2024 #24 Yelena Khanga - Wikipedia en.wikipedia.org