Safari ya Trump yaonyesha Marekani inaihitaji sana China

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping.

Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane
.​

  • Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO
  • Jensen Huang, Nvidia CEO
  • Tim Cook, Apple CEO
  • Larry Fink, BlackRock CEO
  • Stephen Schwarzman, Blackstone CEO
  • Kelly Ortberg, Boeing CEO
  • Brian Sikes, Cargill CEO
  • Jane Fraser, Citigroup CEO
  • Larry Culp, General Electric CEO
  • David Solomon, Goldman Sachs CEO
  • Sanjay Mehrotra, Micron CEO
  • Cristiano Amon, Qualcomm CEO
Swali ni kwa nini ameenda na CEOs wa kampuni kubwa za Marekani za teknolojia, finance n.k?

Trump ameshajua kosa alilofanya kwenye vita vya kiuchumi dhidi ya China ambayo alishindwa vibaya. Marekani inaihitaji sana China.

Marekani inajaribu kurekebisha mahusiano ya kiuchumi baada ya:
​
  • tariffs,​
  • trade wars,​
  • sanctions,​
  • Taiwan tensions,​
  • na suala la supply chain​

Makampuni mengi ya Marekani yana pressure kubwa. CEOs wengi wanataka: stability, access ya China, na predictability.

Trump anajaribu kupunguza tension ya biashara na kutafuta more deals.
​
20260513_081911.jpg

Trump amepeleka team nzima ya Wall Street na Silicon Valley wote wamefuata deals China.​
 
Kila CEO ana agenda yake
Baadhi ya mifano:

  • Tim Cook → manufacturing & iPhone supply chain.
  • Elon Musk → Tesla China sales na EV market.
  • Larry Fink → access kwa Chinese financial markets.
  • David Solomon → banking & investment access.
  • Kelly Ortberg → aircraft Boeing orders.
  • Brian Sikes → agriculture exports.
Kwa hiyo hii si deal moja ni deals nyingi tofauti kwa wakati mmoja.

China bado ni soko kubwa sana duniani

Makampuni mengi yaliyotajwa yanategemea China kwa wateja, viwanda, supply chains na mapato
​
  • Apple hutegemea sana uzalishaji China.
  • Tesla ina kiwanda kikubwa Shanghai.
  • Nvidia na Qualcomm wanahitaji soko la China kwa mauzo ya chips.
  • Boeing inahitaji China kununua ndege zaidi.
Trump alitamba “Hatuihitaji China” alafu anatuma CEOs wote Beijing, what a clown!​
 
Hiyo zuga tuu, ishu kuu ni kumlaghai china mambo mawili.
1. Iran technology, inaaminika baada ya Irani kuvamia vyombo vya baharini kule Hormuz Kwa kuingilia mifumo ya kitechnolojia ya mawasiliano, marekani ameogopa sana. Anaamini Iran tech hii ameipata Kwa msaada mkubwa mchina hivyo anaenda kumpigia magoti ampe siri ya hiyo tech.
2. Kufunguliwa Kwa Hormuz. Trump ameshindwa kwenye kufungua Hormuz hivyo anaamini china ana ushawishi wa kumfanya Irani aachane na tozo za meli ili Hormuz iwe free kama mwanzo.
 
Ukiona raisi wa Marekani ameambatana na CEOs wengi ujue hapo ni deals zinatafutwa kutakuwa na economic summits. Rejea safari ya Trump Saudi Arabia, Qatar, UAE

Ila kwenye meza ya masuala ya kisiasa mojawapo ni suala la Hormuz na Taiwan
 
USA Hana adui wala rafiki wa kudumu, taifa Lao limefanikiwa Toka miaka 200 iliyopita tofauti na Sisi waafrica.
Hili ni somo kwetu waafrica tusome namna wenzetu wanaishi angalia Congo wanavyoishi na majirani zake Rwanda, Uganda na Burundi alafu njoo hapa TANZANIA uone namna tunaishi na majirani zetu yaani ni vurugu mechi mwanza mwisho

Angalia jinsi wakenya walivyotuzidi Akili kwenye ishu ya dangote, RAISI wetu anaogopa kukanyaga Kenya alafu unasema tuna ujirani mwema
 
Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping.

Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane
.​

  • Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO
  • Jensen Huang, Nvidia CEO
  • Tim Cook, Apple CEO
  • Larry Fink, BlackRock CEO
  • Stephen Schwarzman, Blackstone CEO
  • Kelly Ortberg, Boeing CEO
  • Brian Sikes, Cargill CEO
  • Jane Fraser, Citigroup CEO
  • Larry Culp, General Electric CEO
  • David Solomon, Goldman Sachs CEO
  • Sanjay Mehrotra, Micron CEO
  • Cristiano Amon, Qualcomm CEO
Swali ni kwa nini ameenda na CEOs wa kampuni kubwa za Marekani za teknolojia, finance n.k?

Trump ameshajua kosa alilofanya kwenye vita vya kiuchumi dhidi ya China ambayo alishindwa vibaya. Marekani inaihitaji sana China.

Marekani inajaribu kurekebisha mahusiano ya kiuchumi baada ya:
​
  • tariffs,​
  • trade wars,​
  • sanctions,​
  • Taiwan tensions,​
  • na suala la supply chain​

Makampuni mengi ya Marekani yana pressure kubwa. CEOs wengi wanataka: stability, access ya China, na predictability.

Trump anajaribu kupunguza tension ya biashara na kutafuta more deals.
​
View attachment 3587867
Trump amepeleka team nzima ya Wall Street na Silicon Valley wote wamefuata deals China.​

Inaonekana wewe na baadhi wengine, mna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa.

Kama Rais wa Marekani aliwahi kuja mpaka Tanzania, kuna nini cha ajabu Rais wa Marekani kwenda China? Rais wa China alikwishaenda USA akakutana na Rais Joe Biden, na alitoa mwaliko kwa Rais wa Marekani kwenda kutembelea China.

Kwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.

Ukishayajua haya, huwezi kuja na hoja za kijinga juu ya kwa nini Rais wa Marekani akatembelee China au Rais wa China kutembelea Marekani, ni afadhali ushangae Rais wa Marekani kutembelea Tanzania:
1. More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.

2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.

Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion

Ukweli ni kwamba aheri kwa China kulikosa soko lote la bara la Afrika kuliko kulikosa soko la USA.
 
Hiyo zuga tuu, ishu kuu ni kumlaghai china mambo mawili.
1. Iran technology, inaaminika baada ya Irani kuvamia vyombo vya baharini kule Hormuz Kwa kuingilia mifumo ya kitechnolojia ya mawasiliano, marekani ameogopa sana. Anaamini Iran tech hii ameipata Kwa msaada mkubwa mchina hivyo anaenda kumpigia magoti ampe siri ya hiyo tech.
2. Kufunguliwa Kwa Hormuz. Trump ameshindwa kwenye kufungua Hormuz hivyo anaamini china ana ushawishi wa kumfanya Irani aachane na tozo za meli ili Hormuz iwe free kama mwanz
Hapo umeonesha uelewa mdogo.

Safari ya Trump kwenda China, ambayo ilikuwa ni ukaribisho wa Rais wa China alipoitembelea Marekani na kukutana na Joe Biden, ilitangazwa tangu mwakajana, kabla ya vita vya Iran. Hii safari haina ihusiano na vita vinavyoendelea kwa sababu ilipangwa kabla ya vita, na Trump kabla ya kuondoka Marekani, ameeleza kuwa haendi China kuzungumzia vita vyake na Iran. Hii ilikuwa ni ziara ya masuala ya kiuchumi, ndiyo maana unaona ameambatana na wakurugenzi wa makampuni, siyo wataalam wa vita.
 
Hiyo zuga tuu, ishu kuu ni kumlaghai china mambo mawili.
1. Iran technology, inaaminika baada ya Irani kuvamia vyombo vya baharini kule Hormuz Kwa kuingilia mifumo ya kitechnolojia ya mawasiliano, marekani ameogopa sana. Anaamini Iran tech hii ameipata Kwa msaada mkubwa mchina hivyo anaenda kumpigia magoti ampe siri ya hiyo tech.
2. Kufunguliwa Kwa Hormuz. Trump ameshindwa kwenye kufungua Hormuz hivyo anaamini china ana ushawishi wa kumfanya Irani aachane na tozo za meli ili Hormuz iwe free kama mwanzo.
Una akili
 
Kwahiyo wao wachina hawajui kua US ana zuga tu na anataka kuwalaghai ila wewe unajua?
China ni nchi sio mtu mmoja mkuu,sasa atawalaghai kivipi?
yani atawalaghai bila wao kujua kua ana walaghai?
Point kuu ni agenda ya Marekani. Haijalishi kama China anajua ama laa ila hiyo ndio agenda ya Marekani.
 
Inaonekana wewe na baadhi wengine, mna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa.

Kama Rais wa Marekani aliwahi kuja mpaka Tanzania, kuna nini cha ajabu Rais wa Marekani kwenda China? Rais wa China alikwishaenda USA akakutana na Rais Joe Biden, na alitoa mwaliko kwa Rais wa Marekani kwenda kutembelea China.

Kwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.

Ukishayajua haya, huwezi kuja na hoja za kijinga juu ya kwa nini Rais wa Marekani akatembelee China au Rais wa China kutembelea Marekani, ni afadhali ushangae Rais wa Marekani kutembelea Tanzania:
1. More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.

2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.

Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion

Ukweli ni kwamba aheri kwa China kulikosa soko lote la bara la Afrika kuliko kulikosa soko la USA.
Umeandika ukweli unaoeleweka kabisa kiasi kwamba hata mimi nimekosa cha kuandika kwani duniani hapa mataifa yanayojitambua yanapambana uchumi wao uwe bora zaidi.

Sisi bado tuko busy kupambana na wapinzani wakati kwa hao wengine wanaamini kabisa kwamba upinzani ndio chimbuko la kuendelea kwao.

Wachangiaji wa humu wanaoshangaa ziara ya Trump China aidha ni uelewa mdogo au ile kasumba ya siku zote ya imani feki ya kidini ambayo ni bangi inayopofusha akili za watu.

Bush na Clinton waliwahi kuja Tanzania sasa kwa akili ya hao wenye uelewa mdogo sijui watasema kipindi hicho Tanzania ilikuwa na uchumi mkubwa kama China...!!! I just don't know.
 
Back
Top Bottom