Safari ya Trump yaonyesha Marekani inaihitaji sana China

Wamarekani wamechemka sana kumpa madaraka huyu kichaa aliyepata bahati ya kuzaliwa familia ya kitajiri.
Umesema vyema, kosa kubwa la Wamarekani ni kumrudisha mwendawazimu White House

Kumrudisha Donald Trump madarakani kulionyesha jinsi sehemu ya Wamarekani walivyoangalia siasa kwa hisia kuliko uhalisia wa matokeo.

Aliahidi kuishinda China kiuchumi kupitia vita vya ushuru wa bidhaa, lakini mwisho wake uchumi wa Marekani ndio uliumia zaidi.

Bei za bidhaa zilipanda, wafanyabiashara na wakulima wengi wa Marekani wakapata hasara, huku China ikiendelea kuimarisha ushawishi wake duniani.

Badala ya kuifanya Marekani iwe na nguvu zaidi kiuchumi, sera zake ziliongeza mfumuko wa bei na migogoro ya biashara iliyotikisa masoko.
 
Inaonekana wewe na baadhi wengine, mna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa.

Kama Rais wa Marekani aliwahi kuja mpaka Tanzania, kuna nini cha ajabu Rais wa Marekani kwenda China? Rais wa China alikwishaenda USA akakutana na Rais Joe Biden, na alitoa mwaliko kwa Rais wa Marekani kwenda kutembelea China.

Kwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.

Ukishayajua haya, huwezi kuja na hoja za kijinga juu ya kwa nini Rais wa Marekani akatembelee China au Rais wa China kutembelea Marekani, ni afadhali ushangae Rais wa Marekani kutembelea Tanzania:
1. More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.

2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.

Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion

Ukweli ni kwamba aheri kwa China kulikosa soko lote la bara la Afrika kuliko kulikosa soko la USA.
Anaelewa ila anafanya tu ushabiki wa changamsha genge.
 
China inaweza ikawa powerful lakini kumbuka dola bado ndiyo lugha inayoeleweka kuanzia Beijing mpaka Shanghai.
Sawa lakini pia China ina mfumo wake wa CIPS ambao ni mbadala wa SWIFT kwenye malipo ya kimataifa

China ni mshirika mkubwa wa biashara kwa nchi nyingi za Afrika, Asia na Amerika Kusini. Kama taifa linaagiza bidhaa nyingi kutoka China, kulipa kwa Yuan hupunguza gharama za kubadilisha fedha kutoka dola kwenda Yuan

Yuan inazidi kuimarika katika cross border transactions

Kuna baadhi ya mataifa yameanza kubadilisha madeni wanayodaiwa na China kuwa Yuan na kulipa madeni hayo China kwa kutumia Yuan
 
Kwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.
Kwa hiyo Marekani wanaihitaji China kiuchumi? Tuanzie hapo
 
More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.
Kuwekeza China si hisani kwa China, ni kwa sababu kampuni za Marekani zinapata faida kubwa huko​

Na sababu zinazowavutia kuwekeza China ni:
  • Supply chain
  • Uwepo wa skilled personnel
  • Miundkombinu bora
  • Soko
  • R&D centers
  • Sera nzuri za kifedha na biashara
Kwa nini hawakuja Tanzania kuwekeza?​
 
Kwa hiyo Marekani wanaihitaji China kiuchumi? Tuanzie hapo

Jibu rahisi ni kuwa wanahitajiana.
Makampuni mengi ya Marekani yameenda kuwekeza China kwa sababu China ni soko kubwa, na pia China ina cheap labour. Ukitaka kuzalisha kwa gharama nafuu, nenda kawekeze China.

Makampuni hayo ya Marekani na Ulaya, yaliyowekeza China, soko lao kubwa ni Marekani.

China inaihitaji Marekani, na Marekani inaihitaji China.
 
Ili mambo yaende sawa Kwa sasa ni lazima ukae karibu na China kwenye baadhi ya mambo, Kwa hatua walizopiga kwenye Nyanja za kibiashara na uchumi lazima ukae nao meza moja mkubaliane kwenye mambo ya msingi hasa Teknolojia na Uchumi.

China kwenye supply chain Hana mpinzani kabisa, wakishajua kitu Fulani kinavyotengenezwa basi tayari imekwisha, watakuja na options elfu moja kidogo. Majuzi CEO wa Ford alikuwa anaendesha EV ya china ya Xiaomi, alitikisa kichwa na kusikitika Tu namna wao US walivyo nyuma Sana kwenye hizo issues za EV, ikabidi gari lile awe anatembea nalo tu kupata Ile experience...

Nchi ikiwa na wazalendo wa kweli inaweza kufika mbali, Who dares wins!.
 
kuwekeza China kwa sababu China ni soko kubwa, na pia China ina cheap labour. Ukitaka kuzalisha kwa gharama nafuu, nenda kawekeze China.
Nchi za Afrika, South Asia na Latin America zina cheap labour kwa nini hawavutiwi kuwekeza?

Vitu vikubwa vinavyowapa faida kuwekeza China
Supply chain,
Skilled personnel,
Soko la uhakika
 
Tunaposema cheap labour haimaanishi uwepo tu wa watu, lakini ni watu wenye uwezo wa kufanya kitu, na uwezo wa kufundishika. Unaposema soko kubwa siyo tu uwingi wa watu, bali uwingi wa watu wenye uwezo wa kununua. Idadi ya watu wote wa Africa ni 1.55 bilioni. Idadi ya Wachina ni 1.4 bilioni. Lakini average PPP ya Africa ni $6,000.; ya China ni $33,000. Kwa hiyo Africa ina watu wengi lakini wenye uwezo mdogo wa kufanya manunuzi. Lakini ufahamu pia kuwa idadi hiyo ya Waafrika inayokaribiana na idadi ya wachina, wakati China ni nchi 1, kwa Afrika ni nchi 54. Hapo maana yake unazungumzia nchi 54 zenye sera tofauti tofauti za kiuchumi inayompa ugumu mwekezaji atakayetaka kuwekeza kwenye nchi zote za Africa. Kwa Marekani, ni rahisi na faida zaidi kuzungumza na nchi moja kama China, wakafanya makubaliano kuliko kufanya mazungumzo na nchi 54. Hii ni sawa na mtu anayetaka kufanya biashara ya hoteli, ni aheri akajenge hoteli 1 kubwa Dar au Dodoma, kuliko kwenda kujenga lodges 3,000 yaani lodge 1 kwa kila kijiji ambako atalazimika kufanya mazungumzo na serikali za vijiji 3,000.
Soko la China na cheap skilled labour inavuta wawekezaji wengi Duniani ndiyo maana China ndiyo nchi inayoongoza kwa FDI.
 
No supply chain in the world is more critical to us than China.
We're not in China for low labor costs....In the United States if we have a meeting of tooling engineers and we might not fill a room. In China, we would fill multiple football fields."
–Tim Cook (Apple CEO)
​
 
Inaonekana wewe na baadhi wengine, mna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa.

Kama Rais wa Marekani aliwahi kuja mpaka Tanzania, kuna nini cha ajabu Rais wa Marekani kwenda China? Rais wa China alikwishaenda USA akakutana na Rais Joe Biden, na alitoa mwaliko kwa Rais wa Marekani kwenda kutembelea China.

Kwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.

Ukishayajua haya, huwezi kuja na hoja za kijinga juu ya kwa nini Rais wa Marekani akatembelee China au Rais wa China kutembelea Marekani, ni afadhali ushangae Rais wa Marekani kutembelea Tanzania:
1. More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.

2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.

Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion

Ukweli ni kwamba aheri kwa China kulikosa soko lote la bara la Afrika kuliko kulikosa soko la USA.
Upo sahihi, China yupo tayari kupishana na yoyote ila sio US, US ni kama ameshika uchumi wa China kwa kiwango kikubwa.
 
2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.

Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion
Hiyo ni sawa na 3% tu ya GDP ya China, Trump alianzisha trade war na kuiongezea China ushuru na akaja akaondoa.

Sasa nani mwenye leverage kwenye trade war? Huoni kama Trump ndiye anayefeli?
 
Back
Top Bottom