Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Ukiona raisi wa Marekani ameambatana na CEOs wengi ujue hapo ni deals zinatafutwa kutakuwa na economic summits. Rejea safari ya Trump Saudi Arabia, Qatar, UAEHiyo zuga tuu, ishu kuu ni kumlaghai china mambo mawili.
1. Iran technology, inaaminika baada ya Irani kuvamia vyombo vya baharini kule Hormuz Kwa kuingilia mifumo ya kitechnolojia ya mawasiliano, marekani ameogopa sana. Anaamini Iran tech hii ameipata Kwa msaada mkubwa mchina hivyo anaenda kumpigia magoti ampe siri ya hiyo tech.
2. Kufunguliwa Kwa Hormuz. Trump ameshindwa kwenye kufungua Hormuz hivyo anaamini china ana ushawishi wa kumfanya Irani aachane na tozo za meli ili Hormuz iwe free kama mwanzo.
Kwahiyo wao wachina hawajui kua US ana zuga tu na anataka kuwalaghai ila wewe unajua?Hiyo zuga tuu,ishu kuu ni kumlaghai china
mwisho wake dolla hauko mbali...2070 haifikiChina inaweza ikawa powerful lakini kumbuka dola bado ndiyo lugha inayoeleweka kuanzia Beijing mpaka Shanghai.
Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping.
Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane.
- Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO
- Jensen Huang, Nvidia CEO
- Tim Cook, Apple CEO
- Larry Fink, BlackRock CEO
- Stephen Schwarzman, Blackstone CEO
- Kelly Ortberg, Boeing CEO
- Brian Sikes, Cargill CEO
- Jane Fraser, Citigroup CEO
- Larry Culp, General Electric CEO
- David Solomon, Goldman Sachs CEO
- Sanjay Mehrotra, Micron CEO
- Cristiano Amon, Qualcomm CEO
Swali ni kwa nini ameenda na CEOs wa kampuni kubwa za Marekani za teknolojia, finance n.k?
Trump ameshajua kosa alilofanya kwenye vita vya kiuchumi dhidi ya China ambayo alishindwa vibaya. Marekani inaihitaji sana China.
Marekani inajaribu kurekebisha mahusiano ya kiuchumi baada ya:
tariffs, trade wars, sanctions, Taiwan tensions, na suala la supply chainView attachment 3587867
Makampuni mengi ya Marekani yana pressure kubwa. CEOs wengi wanataka: stability, access ya China, na predictability.
Trump anajaribu kupunguza tension ya biashara na kutafuta more deals.
Trump amepeleka team nzima ya Wall Street na Silicon Valley wote wamefuata deals China.
Hapo umeonesha uelewa mdogo.Hiyo zuga tuu, ishu kuu ni kumlaghai china mambo mawili.
1. Iran technology, inaaminika baada ya Irani kuvamia vyombo vya baharini kule Hormuz Kwa kuingilia mifumo ya kitechnolojia ya mawasiliano, marekani ameogopa sana. Anaamini Iran tech hii ameipata Kwa msaada mkubwa mchina hivyo anaenda kumpigia magoti ampe siri ya hiyo tech.
2. Kufunguliwa Kwa Hormuz. Trump ameshindwa kwenye kufungua Hormuz hivyo anaamini china ana ushawishi wa kumfanya Irani aachane na tozo za meli ili Hormuz iwe free kama mwanz
Una akiliHiyo zuga tuu, ishu kuu ni kumlaghai china mambo mawili.
1. Iran technology, inaaminika baada ya Irani kuvamia vyombo vya baharini kule Hormuz Kwa kuingilia mifumo ya kitechnolojia ya mawasiliano, marekani ameogopa sana. Anaamini Iran tech hii ameipata Kwa msaada mkubwa mchina hivyo anaenda kumpigia magoti ampe siri ya hiyo tech.
2. Kufunguliwa Kwa Hormuz. Trump ameshindwa kwenye kufungua Hormuz hivyo anaamini china ana ushawishi wa kumfanya Irani aachane na tozo za meli ili Hormuz iwe free kama mwanzo.
Point kuu ni agenda ya Marekani. Haijalishi kama China anajua ama laa ila hiyo ndio agenda ya Marekani.Kwahiyo wao wachina hawajui kua US ana zuga tu na anataka kuwalaghai ila wewe unajua?
China ni nchi sio mtu mmoja mkuu,sasa atawalaghai kivipi?
yani atawalaghai bila wao kujua kua ana walaghai?
Umeandika ukweli unaoeleweka kabisa kiasi kwamba hata mimi nimekosa cha kuandika kwani duniani hapa mataifa yanayojitambua yanapambana uchumi wao uwe bora zaidi.Inaonekana wewe na baadhi wengine, mna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa.
Kama Rais wa Marekani aliwahi kuja mpaka Tanzania, kuna nini cha ajabu Rais wa Marekani kwenda China? Rais wa China alikwishaenda USA akakutana na Rais Joe Biden, na alitoa mwaliko kwa Rais wa Marekani kwenda kutembelea China.
Kwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.
Ukishayajua haya, huwezi kuja na hoja za kijinga juu ya kwa nini Rais wa Marekani akatembelee China au Rais wa China kutembelea Marekani, ni afadhali ushangae Rais wa Marekani kutembelea Tanzania:
1. More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.
2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.
Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion
Ukweli ni kwamba aheri kwa China kulikosa soko lote la bara la Afrika kuliko kulikosa soko la USA.