Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #21
Umesema vyema, kosa kubwa la Wamarekani ni kumrudisha mwendawazimu White HouseWamarekani wamechemka sana kumpa madaraka huyu kichaa aliyepata bahati ya kuzaliwa familia ya kitajiri.
Anaelewa ila anafanya tu ushabiki wa changamsha genge.Inaonekana wewe na baadhi wengine, mna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa.
Kama Rais wa Marekani aliwahi kuja mpaka Tanzania, kuna nini cha ajabu Rais wa Marekani kwenda China? Rais wa China alikwishaenda USA akakutana na Rais Joe Biden, na alitoa mwaliko kwa Rais wa Marekani kwenda kutembelea China.
Kwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.
Ukishayajua haya, huwezi kuja na hoja za kijinga juu ya kwa nini Rais wa Marekani akatembelee China au Rais wa China kutembelea Marekani, ni afadhali ushangae Rais wa Marekani kutembelea Tanzania:
1. More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.
2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.
Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion
Ukweli ni kwamba aheri kwa China kulikosa soko lote la bara la Afrika kuliko kulikosa soko la USA.
Sawa lakini pia China ina mfumo wake wa CIPS ambao ni mbadala wa SWIFT kwenye malipo ya kimataifaChina inaweza ikawa powerful lakini kumbuka dola bado ndiyo lugha inayoeleweka kuanzia Beijing mpaka Shanghai.
Trump ni mwendawazimuHela inatafutwa kwa njia zote
Tuzishukuru sana China na Russia zimeleta balance of power duniani la sivyo mataifa ya Magharibi yangefanya lolote watakaloDunia inahitaji balance
Kwa hiyo Marekani wanaihitaji China kiuchumi? Tuanzie hapoKwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.
Pasipo kusahau Iran ✌️Tuzishukuru sana China na Russia zimeleta balance of power duniani la sivyo mataifa ya Magharibi yangefanya lolote watakalo
More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.
Sahihi plus North Korea kwa upande fulaniPasipo kusahau Iran ✌️
Kwa hiyo Marekani wanaihitaji China kiuchumi? Tuanzie hapo
Nchi za Afrika, South Asia na Latin America zina cheap labour kwa nini hawavutiwi kuwekeza?kuwekeza China kwa sababu China ni soko kubwa, na pia China ina cheap labour. Ukitaka kuzalisha kwa gharama nafuu, nenda kawekeze China.
Soko lao kubwa ni China ndio maana wamewekeza ChinaMakampuni hayo ya Marekani na Ulaya, yaliyowekeza China, soko lao kubwa ni Marekani.
Sasa Trump zile vita za ushuru na sanctions alikuwa anaanzisha za nini kama anajua Marekani inaihitaji China?China inaihitaji Marekani, na Marekani inaihitaji China.
Anaelewa ila anafanya tu ushabiki wa changamsha genge.
Nchi za Afrika, South Asia na Latin America zina cheap labour kwa nini hawavutiwi kuwekeza?
Vitu vikubwa vinavyowapa faida kuwekeza China
Supply chain,
Skilled personnel,
Soko la uhakika
Tunaposema cheap labour haimaanishi uwepo tu wa watu, lakini ni watu wenye uwezo wa kufanya kitu, na uwezo wa kufundishika. Unaposema soko kubwa siyo tu uwingi wa watu, bali uwingi wa watu wenye uwezo wa kununua. Idadi ya watu wote wa Africa ni 1.55 bilioni. Idadi ya Wachina ni 1.4 bilioni. Lakini average PPP ya Africa ni $6,000.; ya China ni $33,000. Kwa hiyo Africa ina watu wengi lakini wenye uwezo mdogo wa kufanya manunuzi. Lakini ufahamu pia kuwa idadi hiyo ya Waafrika inayokaribiana na idadi ya wachina, wakati China ni nchi 1, kwa Afrika ni nchi 54. Hapo maana yake unazungumzia nchi 54 zenye sera tofauti tofauti za kiuchumi inayompa ugumu mwekezaji atakayetaka kuwekeza kwenye nchi zote za Africa. Kwa Marekani, ni rahisi na faida zaidi kuzungumza na nchi moja kama China, wakafanya makubaliano kuliko kufanya mazungumzo na nchi 54. Hii ni sawa na mtu anayetaka kufanya biashara ya hoteli, ni aheri akajenge hoteli 1 kubwa Dar au Dodoma, kuliko kwenda kujenga lodges 3,000 yaani lodge 1 kwa kila kijiji ambako atalazimika kufanya mazungumzo na serikali za vijiji 3,000.
Soko la China na cheap skilled labour inavuta wawekezaji wengi Duniani ndiyo maana China ndiyo nchi inayoongoza kwa FDI.
Upo sahihi, China yupo tayari kupishana na yoyote ila sio US, US ni kama ameshika uchumi wa China kwa kiwango kikubwa.Inaonekana wewe na baadhi wengine, mna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa.
Kama Rais wa Marekani aliwahi kuja mpaka Tanzania, kuna nini cha ajabu Rais wa Marekani kwenda China? Rais wa China alikwishaenda USA akakutana na Rais Joe Biden, na alitoa mwaliko kwa Rais wa Marekani kwenda kutembelea China.
Kwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.
Ukishayajua haya, huwezi kuja na hoja za kijinga juu ya kwa nini Rais wa Marekani akatembelee China au Rais wa China kutembelea Marekani, ni afadhali ushangae Rais wa Marekani kutembelea Tanzania:
1. More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.
2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.
Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion
Ukweli ni kwamba aheri kwa China kulikosa soko lote la bara la Afrika kuliko kulikosa soko la USA.
Hiyo ni sawa na 3% tu ya GDP ya China, Trump alianzisha trade war na kuiongezea China ushuru na akaja akaondoa.2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.
Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion