Hata mapambano ya ndondi za kina Fury sijawahi kuona kidume kinapita pale na bango kutangaza round nyingine inaanza.Mambo mengine ni biashara na miradi ya watu.Dunia ya leo mwanamke anatumiwa kama fursa.Ukiona hayo mambo yote jua kuna wajanja wachache wamewageuza wanawake fursa yakupiga pesa ndo maana hizi harakati zinaibukaga kwenye siku za wanawake zikishapita wanakua kimya na shida na changamoto za wanawake zinabaki kua zile zile miaka na miaka.