Safari ya wanawake sio fupi kwa kiasi hicho

Safari ya wanawake sio fupi kwa kiasi hicho

mwanamke akimua anaweza bila kuhitaji kuengwaengwa. Mama Samia, Mongela, Tulia, nk hawakuhitaji makongamano ya malkia wa nguvu na sijui super woman, ni sifa, ujasili na jitihada zao tu.

Mbona hakuna hata siku moja nimemuona Spika Tulia kapaka mkorogo ili apendeze.
Tulia haaaa haaa watu wana maneno.
 
Sijui kwanini neno 'superwoman' huwa linanikera sana

Kwani nani kakuzuia kufanya nini wewe mwanamke
Nb:mi ni KE

Hv can u imagine the irony ya wanaume kuimba wao ni supermen😃?
Vichekesho
Kaka hata wanaume lazima wajilaumu wenyewe kwani kila kitu anachofanya kwenye maisha ni kwaajili ya kutimiza furaha ya mwanamke.

Kila kitu anchofanya mwanaume pale kitandani ni kwaajili ya kumfanya mwanamke ajisikie vizuri, hakuna kingine zaidi ya hicho. Mtamsikia mwanaume akisema nimezama chumvini sijui kunyonya nini na nini wapi na wapi, yote hayo ni kumtafutia furaha mwanamke, utamsikia mwanamke akitoa miguno tofautitofauti kuashiria kuwa umemfikisha penyewe anapopataka, lakini Baada ya furaha yote hiyo uliyompatia mwishiwe atakudai pesa, kodi, chakula, usafiri, mafuta, ada ya mdogo wake, nk pamoja na kelele za kwamba wanaume ni wabaya wananyanyasa, nk.

Niwaombe wanaume mrudishe akili zetu zilizokuwa zimetekwa na wanawake. Mtambue kuwa faida pekee anayopata kutoka kwa wanawake ni kuzaa watoto tu baaasi, nothing more.

Tembeeni na wanawake wale tu wenye uwezo wa kuzaa kwa lengo la kuzaa watoto basi. Usitembee na mwanamke kwa lengo la kutafuta starehe tu, maana wakati wa tendo la ndoa wanawake ndio wanaostarehe zaidi yenu, wanastahili kulipia starehe ya kutomaswa, kunyonywa, na kufikishwa kileleni kwa bei kubwa.
 
Wanawake wengine hawajielewi kabisa! Kuna DC kalambo eti anaamuru ofisi ya umma Takukuru ifungwe. Kisa kapishana kiswahili na boss mwenzake ambaye Ni mwanamke mwenzake.
 
Hakika... Na wengi wanaojiita feminists mashuhuri ni wapotoshaji; utakuta wana urahibu mkubwa na ni single parents.
Raha ya feminists wanawake wenzao nao waharibikiwe kama wao...
Shame on them, feminists.
Tuhimize watu waishi kwa kujaliana na si mmoja kutaka kushinda vita asivyoweza kushinda!!
Wewe na OP/mtoa mada mnywe pepsi nitalipa. Mmetufungua akili, tatizo jamii ya sasa ni wabishi. Tulianza sisi, wenzetu wanataka kutuzidi
 
Mwanaume atumie akijua Kuna kwenda salon kunyoa na mwanamke atumie akijua kuwa Kuna mapedi, kwenda salon kuweka dawa au kunyoa na wote lazima wamalize homeworks zao kwa mazingira Yao.
Sijakuelewa hapa, yani pesa ya matumizi kwa mwanao wa kike na wa kiume ni sawa ama??
 
Sijakuelewa hapa, yani pesa ya matumizi kwa mwanao wa kike na wa kiume ni sawa ama??
exactly, wote nawapa hela sawa ili kila mtu atumie kulingana na mahitaji yake ya kibiolojia, kiafya na kijamii. Mfano, msichana hawezi kutumia hela ya kununua pedi kwa kwenda disco na mwanaume hawezi kutumia hela kuhonga wakati hana wembe wa kunyoa ndevu na nywele zake. Kama mwanaume kabikiwa na hela ya ziada kwenye matumizi yake basi atumie hiyo kwenda disco. Discipline hiyo kwenye matumizi wameibeba hadi kwenye maisha yao baada ya kupata kazi. Watoto wangu wa kike wamejenga, wana magari, wana biashara za ziada wakati kaka zao wanahangaika na matumizi yasiyo na kichwa wala miguu.

mtoto wa kike ukimpa pesa za ziada atawahonga boyfriends zao au kutoa misaa kwa wenzao wenye shida kama za chakula au ada.

Hapa nilikuwa natumia ile theory ya mwanazuoni Abraham Maslow juu ya hierarchy of needs, basic needs kwanza kabla ya higher needs. Huwezi kwenda disco kama hujapata chakula, huwezi kutamani kununua kiatu cha ziada kabla ya kununua pedi, nk
 
Kaka hata wanaume lazima wajilaumu wenyewe kwani kila kitu anachofanya kwenye maisha ni kwaajili ya kutimiza furaha ya mwanamke.

Kila kitu anchofanya mwanaume pale kitandani ni kwaajili ya kumfanya mwanamke ajisikie vizuri, hakuna kingine zaidi ya hicho. Mtamsikia mwanaume akisema nimezama chumvini sijui kunyonya nini na nini wapi na wapi, yote hayo ni kumtafutia furaha mwanamke, utamsikia mwanamke akitoa miguno tofautitofauti kuashiria kuwa umemfikisha penyewe anapopataka, lakini Baada ya furaha yote hiyo uliyompatia mwishiwe atakudai pesa, kodi, chakula, usafiri, mafuta, ada ya mdogo wake, nk pamoja na kelele za kwamba wanaume ni wabaya wananyanyasa, nk.

Niwaombe wanaume mrudishe akili zetu zilizokuwa zimetekwa na wanawake. Mtambue kuwa faida pekee anayopata kutoka kwa wanawake ni kuzaa watoto tu baaasi, nothing more.

Tembeeni na wanawake wale tu wenye uwezo wa kuzaa kwa lengo la kuzaa watoto basi. Usitembee na mwanamke kwa lengo la kutafuta starehe tu, maana wakati wa tendo la ndoa wanawake ndio wanaostarehe zaidi yenu, wanastahili kulipia starehe ya kutomaswa, kunyonywa, na kufikishwa kileleni kwa bei kubwa.
Umeupiga mwingi sana...
Kuna yale manaume majinga eti anataka amjengee mwanamke wake nyumba ya ukweli au amnunulie gari la thamani au amvishe pete/nguo/viatu vya thamani kubwa sana... akifikiri kwa kufanya hivyo atamtuliza!
Ukweli ni kuwa zaidi ya mimba hakuna kinachomrudisha mwamke kwenye akili za binadamu! Anaetaka amani aweke mimba after mimba!
Ukimuachia gepu utajua hujui!!

ISHINI NA WANAWAKE KWA AJILI
 
Wewe na OP/mtoa mada mnywe pepsi nitalipa. Mmetufungua akili, tatizo jamii ya sasa ni wabishi. Tulianza sisi, wenzetu wanataka kutuzidi
Alafu wanataka kutuzidi kupitia migongo yetu... Never on Earth!
Tuishi na hivi viumbe kwa akili mingi sana!
Hivi watajisikiaje wanaume nao wakianza kuimba "I am a superman"?
Ninachokijua... harakati za mwanamke kutaka kuwa huru (sijuhi uhuru ili iweje) hazina nia njema
 
Hakuna siku wanaume wamekaa na kuamua kuwakataza wanawake wasiwe viongozi, kwenda shule, wasifyatue matofali, wasiangue madafu kwenye minazi, kuendesha bodaboda, kufanya biashara Wala kuwinda.

Tangu enzi hizo za kale kulikuweko na wanawake wanaopambana na biashara huko tabora, queen of Sheba huko Ethiopia, Cleopatra huko Misri, nk.

Mama yangu tangu enzi hizo alilima kahawa kuuza na kusomesha wanawe wote mwenyewe bila kuhamasishwa na mtu Wala chombo chochote. Alikuwa na haki zake zote. Akina mama Ana Abdalah, bibi titi, Mama Mongela, Bi Kidude, nk hawakuhitaji mkakati wa kuwainua ili wawe vile walivyo.

Hizi jitihada za Sasa ni kuzidi kuwadhoofisha wanawake badala ya kuwaimarisha na upigaji wa pesa kupitia wanawake. Ni jitihada za kufanya mwanamke azidi kuwa delicate kupindukia.

Kama unataka kuipua mwanamke mwenye nguvu na imara kifikra mwache mwanamke ajitokeze mwenyewe kwenye uongozi, biashara, kazi mbalimbali na kwenye elimu.

Ukomnozi wa mwanamke uko kwa mwanamke mwenyewe. Hizi harakati za kumwinua mwanamke haziwezi kufua dafu kama ujasiri hautaanzia kwenye mioyo Yao.

Watoto wangu wa kike ni imara kuliko wale wa kiume kwakuwa sikuwa na upendeleo wa aina yoyote kwao. Sio eti kwakuwa huyu ni mwanamke ni mpe mahitaji zaidi ya kaka yake. Niliacha kila mtoto ajitambue mahitaji yake ili apange matumizi yake kulingana na mahitaji yake.

Mwanaume atumie akijua Kuna kwenda salon kunyoa na mwanamke atumie akijua kuwa Kuna mapedi, kwenda salon kuweka dawa au kunyoa na wote lazima wamalize homeworks zao kwa mazingira Yao.

Hii ya Sasa ya malkia wa nguvu, super woman, nk ni udhalilishaji wa wanawake na upigaji pesa TU.
bora umejitambua mapema

no one can make you strong expect yourself
 
Umeupiga mwingi sana...
Kuna yale manaume majinga eti anataka amjengee mwanamke wake nyumba ya ukweli au amnunulie gari la thamani au amvishe pete/nguo/viatu vya thamani kubwa sana... akifikiri kwa kufanya hivyo atamtuliza!
Ukweli ni kuwa zaidi ya mimba hakuna kinachomrudisha mwamke kwenye akili za binadamu! Anaetaka amani aweke mimba after mimba!
Ukimuachia gepu utajua hujui!!

ISHINI NA WANAWAKE KWA AJILI
Usijaribu kutembea na mwanamke anaetumia njia za uzazi wa mpango kuzuia mimba, Mzee aliyemaliza mayai ya uzazi au asiyezaa, ni kujichosha TU nguvu na afya yako. Faida ya mwanamke ni watoto TU, kama hazai acha aende.
 
Wewe na OP/mtoa mada mnywe pepsi nitalipa. Mmetufungua akili, tatizo jamii ya sasa ni wabishi. Tulianza sisi, wenzetu wanataka kutuzidi
Kaka ukiwa na mwanamke hata kama ana kazi au mfanyabiashara hela zake ni zake TU lakini zako ni zake, anatoa matumizi ya nyumbani kwa kubeep. Hela zake anatumia kwa matumizi yake binafsi kama kusaidia ndugu zake, kuchangia rafiki zake yeye na kununua vitu vyake binafsi.
 
Usijaribu kutembea na mwanamke anaetumia njia za uzazi wa mpango kuzuia mimba, Mzee aliyemaliza mayai ya uzazi au asiyezaa, ni kujichosha TU nguvu na afya yako. Faida ya mwanamke ni watoto TU, kama hazai acha aende.
Well said!!
 
Mwanamke anastahili kula hela ni yule TU ambae:
1. Unakusudia kumpa ujauzito wako hivi karibuni.
2. Mwenye ujauzito wako.
3. Anaenyonyesha/ kulea mtoto wako
4. Mgonjwa anaehitaji msaada apite salama (apone/afe) kipindi chake Cha ugonjwa.

Kaka zaidi ya hapo ni biashara kichaa TU. Usiache kuwahudumia wazazi wako na ndugu zako wenye uhitaji kwa sababu ya majukumu ya kutunza jimama na ndugu zake. Nakwambia wanawake sio walemavu Wala wajinga, wanakupura TU na ukifilisika hawakutaki tena.
 
Ni msichana mwenyewe anamwambia mwalimu Mimi siwezi lakini nataka nifaulu. Kule JKT ni msichana mwenyewe anamwambia afande Mimi gwaride siwezi, ni mwanamke mwenyewe anaekwenda kukaa salon massa 12 na kesho tena akisukwa na wakongo apendeze.

Hivi ndivyo wanawake wanapaswa kuambiana wanapokutana vinavyowwrudisha nyuma.

Je mtu aliyeweka kope na kucha bandia anaweza kufanyakazi gani? Je, mtu aliyejichubua ngozi awe mweupe anaweza kuwa dereva wa bodaboda? Tuwatendee haki wanaume. Asilimia 89 ya mapato ya mwanaume yanaliwa na wanawake na bado wanalaumiwa.
 
Back
Top Bottom