Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Mleta uzi ubarikiwe sana,,, umewasilisha hoja vizuri sana.... Mnoooo...
Hili swala niliwahi jiuliza sana ila sikupata namna ya kujenga hoja ikaeleweka kirahisi hivi...
Wanawake wenyewe ndio wamekuwa mstari wa mbele kujipoteza,,, hizi harakati zao ni wanafanya as if wanaume tulichukua haki zao somewhere...
Ajenda zao nyingi utasikia nao wapewe vyeo,, salary, kazi nzuri... Lakini hutakuja kusikia wanalilia nafasi kama kubeba Zege,,, saidia fundi,, kubeba mizigo mizito,, kuwa machinga,,, kuzoa taka,, kuwa makondakta,, wapiga debe..
Yaani utafikiri hizo kazi nzuri kuna mtu aliwakataza kuwa na qualifications,, ujuzi nk.. Ila hizi za vipato vya chini ambazo ziko freee kabisa na kwa wingi hawazifanyi..
Wao wamejikita sana na fursa mtelezo,, yaani nafasi ambazo wanataka wapewe tu,, waletewe..
Na bado Wanaume ni walaumiwa..