Safari ya wanawake sio fupi kwa kiasi hicho

Hata mapambano ya ndondi za kina Fury sijawahi kuona kidume kinapita pale na bango kutangaza round nyingine inaanza.
 
Hizi harakati za haki na usawa wa wanawake ndizo zilizochangia kuzaliwa kwa ushoga kule Marekani, fuatilieni historia ya ushoga marekani. sababu nyingine ya ushoga ni vijana wengi wa kiume kufungwa kwenye magereza kwa uhalifu wa hapa na pale.

Wanaume wakaona ili kuepuka kero za haki za wanawake na watoto ni heri waishi wanaume kwa wanaume ili wasaidie kwenye gharama za maisha bila bughuza, maana hakuna haki za wanaume peke yao.

Sheria yetu ya ndoa inatambua kuwa mwanaume ndiye mtoaji (provider) hata kama mke ana pesa kiasi gani, sasa hivi wanaleta habari za pasu kwa pasu na mwanaume (ujambazi).
 
Kuna fwedha kule ubalozi na wizarani ndio maana initiatives kibao sikuhizi
 
Mfalme Zumaridi naye kaamua kuwa mfalme bila kuambiwa na mtu, kaona opportunity kaitolea macho..
mwanamke akimua anaweza bila kuhitaji kuengwaengwa. Mama Samia, Mongela, Tulia, nk hawakuhitaji makongamano ya malkia wa nguvu na sijui super woman, ni sifa, ujasili na jitihada zao tu.

Mbona hakuna hata siku moja nimemuona Spika Tulia kapaka mkorogo ili apendeze.
 
Hata mapambano ya ndondi za kuna Fury sijawahi kuona kidume kinapita pale na bango kutangaza round nyingine inaanza.
Ni nani anawaambia wanawake ni lazima wapande jukwaani uchi wakiimba au kucheza? ni wao wenyewe tu.

Wakati wanaume wanachagua kuvaa suti na tai jukwaani wakiimba, wanawake wanachagua kupanda na mavazi ya ajabu, wakati wanaume wakitoka usiku kupata dinner mahali wakiwa wamevaa suluali na shati wanawake wanatoka na vivazi vifupi na mgongo wazi bila kulazimishwa na mtu,wamekaa kitapelitapeli.
 
Kwamba tumege kimasihara............watanuna hao hakuna mfano🤣
 
Acha tu aisee nawaangaliaga Asana na dharau dhidi yao haitaidha sababu hawajielewi tatizo lipo wapi!!

Mwanamke hata awe wapi huwa lazima ukikaa nae ana kaudangaji fulani hata awe nani Yani ukimla atataka akudange tu.
 
Umeongea kwa akili kubwa sana. Ubarikiwe sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani ni kula tu.

Kama haliwi mtu basi inaliwa fedha!

Wanawake wengi wamepotezwa na kuharibikiwa kwa hii michongo inayoendelea!

Si kwenye siasa, misikitini, makanisani, biashara, kazini... Kote ni kula tu!!
 
Mtu anayejipanga barabarani akijiuza kama bidhaa ananunuliwe akatumiwe na mtu ambaye anapambana dhidi yake.

Maofisini, sokoni, majumba ya ibada n.k kote huko wanawake wanakubali kuliwa na kutumika alafu eti ghafla wabadilike, washinde vita dhidi ya wanaume!

Kuna mambo mengine tuyaache kama yalivyo. Wanawake kamwe hawatoshinda vita dhidi ya wanaume. Ni ngumu sana.

Tuhimize kuishi kwa usawa lakini usawa uendane na hali halisi.
 
Acha tu aisee nawaangaliaga Asana na dharau dhidi yao haitaidha sababu hawajielewi tatizo lipo wapi!!

Mwanamke hata awe wapi huwa lazima ukikaa nae ana kaudangaji fulani hata awe nani Yani ukimla atataka akudange tu.
Ni mwanamke mwenyewe anaekwenda kwa mganga, kwenye maombi kutafuta apendwe/aolewe na mwanaume, halafu kundi fulani linadai kuwa wanaume wananyanyasa wanawake, hii sio sawa kabisa
 
Tena wenye Tako na shepu,ndo waharibu mipango apa mjini
 
Bank ya wanawake watupu umeiona wapi? Yaani uchukue hela za wavuja jasho (wanaume) uwape wanawake eti wanaonewa na wanaume, hata wanawake wenyewe wanawashangaa wanawake wenzao
 
Bank ya wanawake watupu umeiona wapi? Yaani uchukue hela za wavuja jasho (wanaume) uwape wanawake eti wanaonewa na wanaume, hata wanawake wenyewe wanawashangaa wanawake wenzao
Hakika... Na wengi wanaojiita feminists mashuhuri ni wapotoshaji; utakuta wana urahibu mkubwa na ni single parents.

Raha ya feminists wanawake wenzao nao waharibikiwe kama wao.

Shame on them, feminists.

Tuhimize watu waishi kwa kujaliana na si mmoja kutaka kushinda vita asivyoweza kushinda!!
 
Gender activities wote Wana historia inayokaribiana, wamekosa wachumba, wameachwa au bwana kaoa mke mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…