Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ungeomba na BAN kabisa kusindikiza haja ya moyo wako..!! Sema upigwe BAN kwa kipindi gani ili kuufurahisha moyo wakoGood Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki ππ Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
Kwa hawa wachovu aliopangwa nao Hilal anamaliza makundi vizuri bila kupoteza mchezoYanga tunafuzu
Hilal hawezi malizia group bila kipigwa
Hizi ni hesabu za probability, na katika hesabu hizi chochote kinaweza kutokea, ingawa probability ya yanga kupita ni ndogo, haitakiwi kukata tamaa.Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki ππ Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
Fumbo mfumbie mjinga.Yanga kimataifa bado. Ila kadiri wanavyoshiriki watazidi kupata uzoefu. Au tuombee Singida big stars iingie kwenye mashindano ya kimataifa na kupangwa kundi moja na Yanga.
Al hilal anapoint 10 ameshafuzu maana Kati ya mc Alger na yanga kuna mmoja hawezi kufikisha point 10 mathematicallyAl hilal bado hajafuzu maana yake Yanga/ Mc Alger wanauwezo wa kumfikia (Wanauwezo wa kuongoza kundi) shughuli bado Mbichi hii
Sio lazima Yanga ashinde zote mbili wewe Mc Alger anapoint tano kabakiza mechi mbili ambayo ndani yake yupo Yanga na Mazembe..Kundi lipo wazi kama Yanga ataweza kuwin game zake mbili.Hii unadhani ni nyepesi kiongozi au hapa ndio kwamba adui muombee njaa
Yego mkarukaMnadhani MC ALGERS ni Mazembe iliyooza? Nyie hapo ndio mwisho mtajitutumua Sana lakini "."
We jamaaππππ€£π€£π€£Ligi bado
Acha nyege mshindo
Two games remaining Kwa kila timu
Belouzdad walifungwa ngapi mkuuDah tena kwa goli nyingi huku akifanya maombi yasiyo na ukomπ΅therwise watepewa mkono wa kwaheri
Goal 4 kama sijakoseaBelouzdad walifungwa ngapi mkuu
Ndio nakubali ilikuwa ni makosa ya hesabu lakini wepesi ni Yanga kushinda game zake hizi hesabu zako unaweza kujitia kitanzi game ya mwishoSio lazima Yanga ashinde zote mbili wewe Mc Alger anapoint tano kabakiza mechi mbili ambayo ndani yake yupo Yanga na Mazembe..
Sasa ikitokea akashinda kwa Mazembe manake atakua na point nane hapo anabakiza mechi moja na Yanga ambayo labda itakua imetoka sare na Al hilal hapo Yanga itakua na point tano sasa inakuja kuamaliza Mc Alger ambao watakua na point nane hapo Yanga itabidi ashinde goli tatu na kuendelea ili head to head imbebe.
Uko sahihi nilikosea tu kwenye hesabu Yanga akiwin game zake mbili anakuwa kamaliza mchezoYanga akishamchapa Al hilal ambae 98% keshafuzu na akimtandika Mc alger kwa mkapa biashara inakuwa imekwisha ata Mc alger akimfunga mazembe inakuwa aiwasaidii chochote yanga anafuzu!
Chochote kinawezekana kwenye mpira..Ndio nakubali ilikuwa ni makosa ya hesabu lakini wepesi ni Yanga kushinda game zake hizi hesabu zako unaweza kujitia kitanzi game ya mwisho
Kuongoza Ligi Yes.., kutokufuzu how ? Yaani Simultaneouly hao wote wanaweza kupata points 10 au zaidi wakati wote watakutana ?Al hilal bado hajafuzu maana yake Yanga/ Mc Alger wanauwezo wa kumfikia (Wanauwezo wa kuongoza kundi) shughuli bado Mbichi hii
Al Hilal kaishafuzuAl hilal bado hajafuzu maana yake Yanga/ Mc Alger wanauwezo wa kumfikia (Wanauwezo wa kuongoza kundi) shughuli bado Mbichi hii
Si kweli yanga akishinda game zake anafuzu bila kujali matokeo ya mwegine yeyoteYanga anaweza kukaza tu, sema kumaliza kwenye nafasi mbili za juu bado ni kitendawili kwao.Bado akiwin game zake mbili inabidi kuomba pia Mazembe amfanyie wepesi kwa Mc Alger tabu tupu
Bado lolote linatokea hivi umewaza mzunguko ujao yanga na Al hilal wakasare na mazembe na alger wakasare pia ina mana game ya mwisho yanga akimfunga Alger Kwa mkapa anafuzu bila kujali matokeo ya mazembe na al hilal so hapo point 4 yanga zinauwezo wa kumbeba Hila point 6 ni uhakika zaidi sababu azitohitaji msaada wa matokeo ya mwenzakoUpo sawa, Ingawa Alger ana nafasi zaidi kuliko Yanga.
Yanga ina p4. Alger ina p5. Point zilizobaki ni 6. Alger anahitaji 4 na Yanga anahitaji 6. Akizikosa hizo 4 basi aingie kwenye hesabu za Yanga kupoteza au kudraw kutegemeana na katika hizo 4 kapoteza ngapi. Yanga yeye hana option zaidi ya kumfunga Alger na Hilal.
Sawa, ila hesabu sahihi kwa Yanga ni kuchukua point 6 zilizobaki au Mazembe amfanyie wepesi. Imagine Mazembe akatoe droo au kushinda.Bado lolote linatokea hivi umewaza mzunguko ujao yanga na Al hilal wakasare na mazembe na alger wakasare pia ina mana game ya mwisho yanga akimfunga Alger Kwa mkapa anafuzu bila kujali matokeo ya mazembe na al hilal so hapo point 4 yanga zinauwezo wa kumbeba Hila point 6 ni uhakika zaidi sababu azitohitaji msaada wa matokeo ya mwenzako