Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.

Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,

Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba

View attachment 3193688
Ungeomba na BAN kabisa kusindikiza haja ya moyo wako..!! Sema upigwe BAN kwa kipindi gani ili kuufurahisha moyo wako
 
Kwenye hilo kundi mwenye uhakika wa moja kwa moja ni huyo mwenye point 10, wengine wote lolote linaweza tokea kutokana na matokeo ya mech mbili zilizobak
 
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.

Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,

Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba

View attachment 3193688
Hizi ni hesabu za probability, na katika hesabu hizi chochote kinaweza kutokea, ingawa probability ya yanga kupita ni ndogo, haitakiwi kukata tamaa.
 
Al hilal bado hajafuzu maana yake Yanga/ Mc Alger wanauwezo wa kumfikia (Wanauwezo wa kuongoza kundi) shughuli bado Mbichi hii
Al hilal anapoint 10 ameshafuzu maana Kati ya mc Alger na yanga kuna mmoja hawezi kufikisha point 10 mathematically
 
Kundi lipo wazi kama Yanga ataweza kuwin game zake mbili.Hii unadhani ni nyepesi kiongozi au hapa ndio kwamba adui muombee njaa
Sio lazima Yanga ashinde zote mbili wewe Mc Alger anapoint tano kabakiza mechi mbili ambayo ndani yake yupo Yanga na Mazembe..
Sasa ikitokea akashinda kwa Mazembe manake atakua na point nane hapo anabakiza mechi moja na Yanga ambayo labda itakua imetoka sare na Al hilal hapo Yanga itakua na point tano sasa inakuja kuamaliza Mc Alger ambao watakua na point nane hapo Yanga itabidi ashinde goli tatu na kuendelea ili head to head imbebe.
 
Ndio nakubali ilikuwa ni makosa ya hesabu lakini wepesi ni Yanga kushinda game zake hizi hesabu zako unaweza kujitia kitanzi game ya mwisho
 
Yanga akishamchapa Al hilal ambae 98% keshafuzu na akimtandika Mc alger kwa mkapa biashara inakuwa imekwisha ata Mc alger akimfunga mazembe inakuwa aiwasaidii chochote yanga anafuzu!
Uko sahihi nilikosea tu kwenye hesabu Yanga akiwin game zake mbili anakuwa kamaliza mchezo
 
Al hilal bado hajafuzu maana yake Yanga/ Mc Alger wanauwezo wa kumfikia (Wanauwezo wa kuongoza kundi) shughuli bado Mbichi hii
Kuongoza Ligi Yes.., kutokufuzu how ? Yaani Simultaneouly hao wote wanaweza kupata points 10 au zaidi wakati wote watakutana ?
 
Upo sawa, Ingawa Alger ana nafasi zaidi kuliko Yanga.

Yanga ina p4. Alger ina p5. Point zilizobaki ni 6. Alger anahitaji 4 na Yanga anahitaji 6. Akizikosa hizo 4 basi aingie kwenye hesabu za Yanga kupoteza au kudraw kutegemeana na katika hizo 4 kapoteza ngapi. Yanga yeye hana option zaidi ya kumfunga Alger na Hilal.
Bado lolote linatokea hivi umewaza mzunguko ujao yanga na Al hilal wakasare na mazembe na alger wakasare pia ina mana game ya mwisho yanga akimfunga Alger Kwa mkapa anafuzu bila kujali matokeo ya mazembe na al hilal so hapo point 4 yanga zinauwezo wa kumbeba Hila point 6 ni uhakika zaidi sababu azitohitaji msaada wa matokeo ya mwenzako
 
Sawa, ila hesabu sahihi kwa Yanga ni kuchukua point 6 zilizobaki au Mazembe amfanyie wepesi. Imagine Mazembe akatoe droo au kushinda.
 
Back
Top Bottom