Aliyejihakikishia hapo ni Al Hilal tu; huyo MC Alger ni kibonde wetu. In fact kwenye mechi ya Marudiano, Yanga hii ya GUSA+ACHIA+TWENDE_MBELE itazirarua timu zote hizo; MC-ALger atafungwa 3-0, na AL-Hilal atafunga 2-0.Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki ππ Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
al hilal atafungwa kwao tarehe 12, na mwarabu akija hapa anakuja kufungwa. mark my words.Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki ππ Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
Kwamba team zingine zitakuwa zimebaki zimesimama? dont underrate team zingine kwenye hilo kundiBado kundi lipo wazi, Yanga akishinda mechi zake halafu ikawa hivi ikawa vile, tuka, waka inapita.
Ndo maana nasema Yanga shortcut nzuri ni mazembe kumtuliza Alger.
Bado ni kundi gumu kwa matokeo ya al hilal na mc alger, Yanga anaweza kuwa na 10, mc alger anaweza kuwa na 11 na al hilal anaweza baki na hizo hizo 10 na mazembe akawa na 8Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki ππ Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
Hilo sio swali ndio uhalisia,Yanga yenu Haina uwezo wa kushinda mechi zote 2.Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki ππ Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688
Safari hii watahesabu vidole hadi viote nundu . Walifikiri kufika robofainali CAFCL ni kama wanavyokunywa supu .Mnadhani MC ALGERS ni Mazembe iliyooza? Nyie hapo ndio mwisho mtajitutumua Sana lakini "."
Hakuna Tuki waki zaidi ya Yanga kushinda michezo yake miwili iliyosaliaDah mi ni mwananchi ila hizi ;
Kwa mfano,
Tuki,
Waki,
Mpaka nachoka mimi
Kwenye mechi ya mpira wa miguu haiwezekani mechi moja ikatoa washindi wawiliNa hao wengine wakishinda mechi zao 2?
Ndo maana nikasema ikiwa, ikawa.Kwamba team zingine zitakuwa zimebaki zimesimama? dont underrate team zingine kwenye hilo kundi
Acha wenge wewe,Yanga mwaka juzi kacheza fainali ya shirikisho wewe unakuja na wenge lako unasema yanga kimataifa bado?Yanga kimataifa bado. Ila kadiri wanavyoshiriki watazidi kupata uzoefu. Au tuombee Singida big stars iingie kwenye mashindano ya kimataifa na kupangwa kundi moja na Yanga.
Hakika mkuuHapa ndio hesabu za vijiti zinapo anza sasa.Yanga waliharibu kukubali kufungwa game na Al hilal
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki ππ Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamili
Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto,kolo Bado hamjapitaLigi bado
Acha nyege mshindo
Two games remaining Kwa kila timu
Wewe unajua mpira kweli? Hujui kuwa yanga na alger kuwa wanakutana? Kwahiyo hiyo mechi wakikutana wote watashinda?Al hilal bado hajafuzu maana yake Yanga/ Mc Alger wanauwezo wa kumfikia (Wanauwezo wa kuongoza kundi) shughuli bado Mbichi hii
Acha kunililia mimi sio babako.Acha wenge wewe,Yanga mwaka juzi kacheza fainali ya shirikisho wewe unakuja na wenge lako unasema yanga kimataifa bado?
yanga amecheza robo fainali Ligi ya mabingwa msimu uliopita bado unateswa na wenge lako unasema yanga bado kimataifa?,acha wenge
Tatizo Yanga ugenini ni mabwabwa tu na usikute hata nyumbani wakafilwa pia, hawa jamaa ni mabwabwa mno kimataifa. Mze Mpili anawadanganya sana.Bado kundi lipo wazi, Yanga akishinda mechi zake halafu ikawa hivi ikawa vile, tuka, waka inapita.
Wamebakiza Miechi mbili tu, yuko sahihiLigi bado
Acha nyege mshindo
Two games remaining Kwa kila timu