Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.

Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,

Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba

View attachment 3193688
Aliyejihakikishia hapo ni Al Hilal tu; huyo MC Alger ni kibonde wetu. In fact kwenye mechi ya Marudiano, Yanga hii ya GUSA+ACHIA+TWENDE_MBELE itazirarua timu zote hizo; MC-ALger atafungwa 3-0, na AL-Hilal atafunga 2-0.
 
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.

Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,

Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba

View attachment 3193688
al hilal atafungwa kwao tarehe 12, na mwarabu akija hapa anakuja kufungwa. mark my words.
 
Bado kundi lipo wazi, Yanga akishinda mechi zake halafu ikawa hivi ikawa vile, tuka, waka inapita.
Kwamba team zingine zitakuwa zimebaki zimesimama? dont underrate team zingine kwenye hilo kundi
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ndo maana nasema Yanga shortcut nzuri ni mazembe kumtuliza Alger.

Sasa kaka Yanga alifungwa na Alger na Yanga akamfunga mazembe je Mazembe anaweza akamfunga mbabe wa Yanga ambae ni Alger.
Tuombe dua tuu halafu Yanga amfunge Al hilal 😂😂.
Dua nyingi sana aisee
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Inawezekana maana Kila mmoja malengo yake ni kusonga mbele
 
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.

Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,

Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba

View attachment 3193688
Bado ni kundi gumu kwa matokeo ya al hilal na mc alger, Yanga anaweza kuwa na 10, mc alger anaweza kuwa na 11 na al hilal anaweza baki na hizo hizo 10 na mazembe akawa na 8
 
Dah mi ni mwananchi ila hizi ;

Kwa mfano,

Tuki,

Waki,

Mpaka nachoka mimi
 
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.

Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,

Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba

View attachment 3193688
Hilo sio swali ndio uhalisia,Yanga yenu Haina uwezo wa kushinda mechi zote 2.

Mambo ya Kimataifa waachiwe Simba.
 
Mnadhani MC ALGERS ni Mazembe iliyooza? Nyie hapo ndio mwisho mtajitutumua Sana lakini "."
Safari hii watahesabu vidole hadi viote nundu . Walifikiri kufika robofainali CAFCL ni kama wanavyokunywa supu .
 
Yanga kimataifa bado. Ila kadiri wanavyoshiriki watazidi kupata uzoefu. Au tuombee Singida big stars iingie kwenye mashindano ya kimataifa na kupangwa kundi moja na Yanga.
Acha wenge wewe,Yanga mwaka juzi kacheza fainali ya shirikisho wewe unakuja na wenge lako unasema yanga kimataifa bado?

yanga amecheza robo fainali Ligi ya mabingwa msimu uliopita bado unateswa na wenge lako unasema yanga bado kimataifa?,acha wenge
 
My wet
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.

Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,

Walichobakiza Yanga ni kukamili
Ligi bado

Acha nyege mshindo

Two games remaining Kwa kila timu
Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto,kolo Bado hamjapita
 
Al hilal bado hajafuzu maana yake Yanga/ Mc Alger wanauwezo wa kumfikia (Wanauwezo wa kuongoza kundi) shughuli bado Mbichi hii
Wewe unajua mpira kweli? Hujui kuwa yanga na alger kuwa wanakutana? Kwahiyo hiyo mechi wakikutana wote watashinda?
 
Acha wenge wewe,Yanga mwaka juzi kacheza fainali ya shirikisho wewe unakuja na wenge lako unasema yanga kimataifa bado?

yanga amecheza robo fainali Ligi ya mabingwa msimu uliopita bado unateswa na wenge lako unasema yanga bado kimataifa?,acha wenge
Acha kunililia mimi sio babako.
 
Bado kundi lipo wazi, Yanga akishinda mechi zake halafu ikawa hivi ikawa vile, tuka, waka inapita.
Tatizo Yanga ugenini ni mabwabwa tu na usikute hata nyumbani wakafilwa pia, hawa jamaa ni mabwabwa mno kimataifa. Mze Mpili anawadanganya sana.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom