Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Aliyejihakikishia hapo ni Al Hilal tu; huyo MC Alger ni kibonde wetu. In fact kwenye mechi ya Marudiano, Yanga hii ya GUSA+ACHIA+TWENDE_MBELE itazirarua timu zote hizo; MC-ALger atafungwa 3-0, na AL-Hilal atafunga 2-0.Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
View attachment 3193688