Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Endapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio.
1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream.
2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza.
3.Kila mwanamke unayemuona unamtamani na upo radhi kulala nae bila kujali ubora wake.
4. Unauza kitu cha zamani kwanza ili uongeze hela ununue kitu kipya.
5. Unakula kila unachokiona mbele ya macho yako.
.... mengine mtaongezea.