Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha dah basi tuEndapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio.
1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream.
2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza.
3.Kila mwanamke unayemuona unamtamani na upo radhi kulala nae bila kujali ubora wake.
4. Unauza kitu cha zamani kwanza ili uongeze hela ununue kitu kipya.
5. Unakula kila unachokiona mbele ya macho yako.
.... mengine mtaongezea.
Kama mimi tu juzi ndio nimenanadilisha Protector imechoka balaa......cracks kama zote.Ilaaaa
Kioo mbali… kuna watu wanatumia simu iko na protector imemeguka meguka yan dah. 😂
😀 acha kufananisha nyeto na ujinga ujinga weweunapiga nyeto badala ya kuchakata puccy
HeheheUnakula ugali mkubwa mboga kiduchu.
basiiii usimalizie kusomaa. 😀😀😀1. Kama mshahara wako ni single digit.
2. Kama hutoboi mwezi bila kuchukua salary advance au Songesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jomba huu uzi ni wa mambo ya utani. Ukweli sana sio poa. 🤣Kama bado unasomesha wadogo zako
Ukiona mwanaume anacheza vicoba pia ana safari ndefu ya mafanikio.Endapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio.