🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣unakula nyama mwishoni baada ya kumaliza chakula..
Nimecheka sana6- Unatumia simu kioo kimepasukasuka Hadi ukipiga selfie mnajiona wawili na twin wako.
😁😁😁unakula nyama mwishoni baada ya kumaliza chakula..
unapiga nyeto badala ya kuchakata puccy🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Acha hizo wewe… nini maana ya menu??Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza
Venye nataka kuuza hii aifon 6, nichukue 7. 🤣🤣🤣Unauza kitu cha zamani kwanza ili uongeze hela ununue kitu kipya
Chanzo kingine ni perdiem.. tulieni6. Hauna chanzo kingine cha mapato zaidi ya mshahara
HahahaUnaziogopa Pisi Kali unahisi zitakupa U.T.I/Gono/ngoma
Kama bado unasomesha wadogo zakoEndapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio.
1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream.
2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza.
3.Kila mwanamke unayemuona unamtamani na upo radhi kulala nae bila kujali ubora wake.
4. Unauza kitu cha zamani kwanza ili uongeze hela ununue kitu kipya.
5. Unakula kila unachokiona mbele ya macho yako.
.... mengine mtaongezea.
Ilaaaa6- Unatumia simu kioo kimepasukapasuka Hadi ukipiga selfie mnajiona wawili na twin wako.