Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Hahhaaa majukumu na umri boss! Ila ngoja nijitafute siku moja...au nisubiri tu had 28th Oct! Ni bang kwakwenda mbeleHahah siku ndio hii sasa,anza na desperado hapo mdogo mdogo wkt unasubiri mambo yanoge.
Heb tupia vipicha na wewe, storee to vidoleniTayari kuna lorry toka dom limehama kushoto kuja gonga gema kulia.upande wa dereva. Sijui nini kilimsibu dereva au gari
Hapa hapa mjini ...hapa ndo utawakuta watoto wakali mkuu..wewe tu na jicho lakoIpo wapi? Kahama? Eneo gani si mwenyeji kahama. Ntakuta umeniandalia na blanket?ntafutie mtoto mmoja mkali mwenye chura na bastola
LAV 4!!! Ha ha haaa!! hata gari unayo kweli!! LabdaMkuu nami jana nikitoka msibani Kilimanjaro nikiwa na LAV 4 jamaa akaniambia tangulia, kweli nilifanya hivyo na kati ya Moshi na njia panda nilisimamishwa na traffic sehemu tatu bila sababu ya maana na kitu hicho kiliendelea mpaka na fika usawa wa Makuyuni ndipo jamaa yangu akanipita kwa speed yao pendwa ya VX na akaniambia nimfuate nyuma
Nashukuru nilitembea mwendo wake mpaka nilipofika Dar na kila niliposimamishwa na traffic niliwajibu tupo safari moja na lile VX mbele yangu na sikupata mkeka wala jamvi njia nzima kisa VX namba za kiraia tu sio lazima ziwe STL au STK
Hahah na sisi wanyonge tunatamani magari mjue?Eti 'LAV4[emoji849][emoji849][emoji849]
unamiliki hata baiskeli wewe?
Mmezidi uwongo humu em punguzeni basi. Mxiuu
Ha ha haa [emoji23]Hahah na sisi wanyonge tunatamani magari mjue?
Niliona wadau wamemuweka humu mkuu na video ya hio ajali.Dadreki, halafu huyo jamaa namjua asee
Like seriously?
Hebu fukua uzi wake mkuu unitag[emoji26]Niliona wadau wamemuweka humu mkuu na video ya hio ajali.
Hahah nikajua leo umeamua ku-sacrifice uruke majoka tu mpk kunakucha.Hahhaaa majukumu na umri boss! Ila ngoja nijitafute siku moja...au nisubiri tu had 28th Oct! Ni bang kwakwenda mbele
Mbonakamabukutanokubwasanamkuu?nadhanachenjichenjubukumbiliziwetanoujuekahamambali!sikiliza mtoa mada. Chukua elfu tano tano ziweke sehemu rahisi kuzitoa. Trafiki akikuomba leseni mwekee na hiyo buku 5 ya kusafishia viatu. Unakanyaga zako mwendo wowote usiwe bahili tu
Shemeji hua anawawekea elfu mbilisikiliza mtoa mada. Chukua elfu tano tano ziweke sehemu rahisi kuzitoa. Trafiki akikuomba leseni mwekee na hiyo buku 5 ya kusafishia viatu. Unakanyaga zako mwendo wowote usiwe bahili tu
Mwambie pia HIV prevalence rate ni zaidi ya 4% na zana asisahau kuangalia expire dateHapa hapa mjini ...hapa ndo utawakuta watoto wakali mkuu..wewe tu na jicho lako
Au boss unataka kunipa ofa!?😋Hahah nikajua leo umeamua ku-sacrifice uruke majoka tu mpk kunakucha.
Ameshasikia mkuuMwambie pia HIV prevalence rate ni zaidi ya 4% na zana asisahau kuangalia expire date