Safari yangu Dar - Kahama nayokumbana nayo

Morogoro - Dom uwe mwangalifu aisee, kile kipande sio cha kunyoosha goti kihivyo
Mwambieni huyu, tutaona Uzi hauendelei. Morogoro Dodoma ni majanga matupu hasa kwa gari ndogo, anaweza kuliingia hata Semi akatuchafulia Barabara. Hata hivyo safari njema na karibu sana utatupita sehemu sehemu tunashangaa
 
Sijawahi kamatwa na matiraa(trafiki) au kwasababu gari yangu ya hela ndogo.
 
Utanikuta chillers nakusubiria☺️..Tena leo wknd bonge la bang hapa
Aisee nimetua kahama jana kutokea Dar!Chillers napaelewa sana,huwa napata sana kilaji pale nikiwa kahama!Ila kuna siku nikajichanganya nikawasha fegi,wajomba wakanitoa nje na grants yangu ikataifishwa juu kwa juu!
Leo nitakuwepo hapo kupata mziki wa live band!!!!!!!
 
Nimekusoma na kusubiri ila kwa hizo speed jiandae kulipa faini mara 2 au zaidi.
 
Niliwaona nyie mnachukua videos njiani ya gari yangu ili mje muoneshe kabla na baada...nmewashtukia. naendesha kwa umakini.....nyau nyie...🤣🤣🤣🤣

Mwambieni huyu, tutaona Uzi hauendelei. Morogoro Dodoma ni majanga matupu hasa kwa gari ndogo, anaweza kuliingia hata Semi akatuchafulia Barabara. Hata hivyo safari njema na karibu sana utatupita sehemu sehemu tunashangaa
 

Hahh ulikua mle lounge☺️☺️! Aisiee it's my fav place
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…