Safari yangu Dar - Kahama nayokumbana nayo

Nenda ze fox wewe...chillar pa kiwaki sanaa
 
Hahahahahahaha jamani balimi watu huku wanaipendaaa[emoji1787][emoji1787]so wanawake si wanaume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!dah ..mkuu Bora tuagize k vant kubwa na coca Kama huna hela aisee
Kama we ni mtu wa kula safari lager,basi ukiwa kanda ya ziwa.. balimi ndo mbadala wake
 
kwenye hiyo Harrier yako ungebandika picha ya magufuli na bendera ya ccm nakuhakikishia ungetembea utakavyo..me jana nimetoka moshi nikatumia mbinu hiyo na hakuna pimbi aliyethubutu kunisimamisha hata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…