Aisee hapo kwenye boda boda umenikumbusha kitu ,madereva wa huku wanafujo sana toyo zao kwanza wametoa taa zake then wanaweka vile vitaa vidogo lkn mwanga wake mkali zinaumiza macho.. Utii wa sheria kwa watumiaji wa vyombo vya moto ni kama haiwahusu. Madereva wapo rafu mnoo. Watu pekee wanaojitahidi ni toyo/boda ingawa ni wapo wahuni wachache.
Hahahha na bado sijaelwa"asee chalii yake si ni nimembutua deree, kila nikimmanya anaongea nfa nfa nfa, nikaona huyu ni nte"
Huyu mjinga alikuwa ananiambia hizi stori mtaani kwao hapo Esso, hata sikuelewa yaan[emoji848]
[emoji16]Hahahha na bado sijaelwa
Asante mkuu.. ngoja nichanje mbao lazima nirudi haraka sana.No. 3 Si kweli kabisa.
Asilimia kubwa ya waendesha magari wanatii sheria vizuri. Isipokuwa Asilimia kubwa ya waendesha bodaboda ndio ovyo na hii ni kawaida kwa mikoa yote.
Karibu tena chuga!
Unapazungumziaje hapo mitaa ya picnic usiku?
Tatizo meno yao bana.. hivi hakuna namna wakasaidiwa kupunguza ama kuondoa kabisa hilo tatizo.Mana iyo ndo arusha.unakuta MTT wa kimbulu ama wa kichaga mweupe pee yaani lile paja likikumulika na weupe ule amazing mpaka mshindo unataka kutoka kabla hujaingiza.
Mwarabu huyo anayejiuza hapo maeneo ya mrina ulimpata kweli.
Yaani Arusha bana na baridi lile
Next time bro.Mkuu ungepita na The Hub sehemu ya kistaarabu yenye vibe Kama lote kwa sasa Arusha, ni sehemu ya watu na pesa zao sema sungusungu (wanawake wa escorts) wapo ila lazima uwe mwenyeji na cha msingi ni vizuri ukienda nenda na mkeo Kama tunavyofanya sisi.Arusha is my city
Njoo miezi ambayo hakuna baridi, nakuhakikishia kila kiwanja utachoingia kitanoga. Hadi kwa MrombooAsante mkuu.. ngoja nichanje mbao lazima nirudi haraka sana.
Nawasalimu kwa jina la JMT. Kazi iendelee.
Ilikuwa ni furaha kutoka nyanda za juu kusini na kuja ukanda huu wa kaskazini mwa Tanzania.
Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii.
Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza.
1. Covid 19 imeutesa sana huu mji. Mishe zilizotegemea utalii zilikumbwa na pigo kama lile la afande moroto. Ingawa hali kama inarejea.
2. Ulaji nyama na unywaji wa pombe hufanyika kwa kiasi kikubwa mnoo. Si dhani kama kuna mkoa unawazidi hawa jamaa.
3. Utii wa sheria kwa watumiaji wa vyombo vya moto ni kama haiwahusu. Madereva wapo rafu mnoo. Watu pekee wanaojitahidi ni toyo/boda ingawa ni wapo wahuni wachache.
Uendeshaji magari ni tatizo katika hili jiji. Trafiki inabidi wafanye kazi ikiwa ni pamoja na kuchora upya namna ya matumizi ya barabara.
4. Watembea kwa miguu hawa ndiyo viburi waliopitiliza. Wanajiona nao ni kama magari/pikipiki.
5. Tabia za kibepari ni nyingi mno kuliko ujamaa. Wepesi pia kupeana michongo, wanaamini nao wanaweza tokea humo.
6. Bei za milupo nadhani bado bei elekezi inafanya kazi. Ila ukiwa mgeni unaweza pewa bill kubwa. Kuwa makini, wengine bado ni wezi hawaheshimu kazi zao.
7. Changamoto katika meno ya hawa watu ni shida. Demu mkali unakuta meno yameharibika, rangi zilizopitiliza. Sijajua chanzo hasa ni nini, je ni maji wanayotumia ama ulaji nyama uliopitiliza?
Iweje mamlaka ya maji safi wanashindwa kulitatua hili,wala madaktari wetu pia wameshindwa.
Hata kama linawapa identity bado ni mbaya pale inapodhidi,ingawa inaleta urembo kwa wengine.
8. Jamaa ni waoga sana wa baridi.
Asanteni Ara Chuga, masela wa Njiro, Moshono, Chekeleni, Ngaramtoni, Unga Limited, Sakina, Morombo, Ngarenaro, Makao Mapya hata wale nilio wasahau.
Vijiwe vyenu nilivyopita ni The Don, Mopao, Kokoriko, Uzunguni, Bills River, Picnic, Empire, Annex, Redwood.
Hakika zimekuwa siku 8 za purukushani nyingi na muda mchache wa kulala.
Fantastic stay in your city.
Karibuni pia kwa wanalizombe.
Pale miaka vision 2040 kutazaliwa lugha pale😂😂[emoji16][emoji16][emoji16]mambo ni yechu yechu
I love Arusha nakomaa huko huko mpaka nipate mke 😂 😂Chaliifrancisco njoo uone vitu vya nyumbani..
Tukogo toka enzi za baracuda[emoji23]Kama hukufika MRINA basi hujafika Arusha
Hapo shivaz nilipataga jimama hilo tako kubwa balaa halafu wakati huo nilikua chalii tu 22yrsTukogo toka enzi za baracuda[emoji23]
Naunga mkono hoja, halafu wanagawa kidogo sana usipojikaza kumeza vizuri ugali wote utaishia kooniSehemu nyingi za chakula hawajui kusonga ugali ukaiva vizuri.
Ugali umejaa mabuja, ungaunga, umepoa kama kuoza kidole kinaingia ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kusikia waalah!Naunga mkono hoja, halafu wanagawa kidogo sana usipojikaza kumeza vizuri ugali wote utaishia kooni
Nimekula pale kwenye magenge ya Unga Limited, hicho kitu nimekiona kwenye magenge tofauti ya mitaa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kusikia waalah!