Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Usifikiri huwa wanataka mazoea kirahisi rahisi ukikutana nao kuna mawili au manne utoke salama, utoke na ulemavu, wakuunganishe uwe Askari wao au wakuue mambo siyo rahisi kama kwenye movie
Sasa wewe ulijua mambo uko ni km mdembwedo bin urojo.....uko ndiko waliko wanaume, ukitoboa umetoboa kiwelikweli.
 
Kwann mtanzania akiwa Rwanda anaogopwa/kupendwa na akiwa Congo anapendwa na kuheshimiwa?

Historian ya Tanzania kwenye Vita dhidi ya Uganda pia dhidi ya m23 bado Tanzania imepambana sana kulinda na kuokoa maisha ya wahanga wengi kwenye nchi za maziea makuu ndio mana mtanzania akiwa Rwanda either apelelezwe sana tafsiri yake anaogopwa au apendwe hii n kwa wale wanaoona kagame anazingua.

Mtanzania akiwa Congo anapendwa sababu ya kuwalea na huwa tupo bega kwa bega na wakongo kwenye Vita na wengine huko makambi ya wakambizi kingine watanzania huwa hatujali yetu ya msingi na tunawajali sana wageni ndio mana hawa wakongo walioko huku Tanzania husimulia habari njema za ukarimu kwa ndugu zao ndio mana ya kupendwa na wakongoman.

Kingine style ya uongozi wa magufuli na misimamo yake aliyokuwa nayo imetuheshimisha sana kwenye hzo nchi.

Ukweli n kwamba Congo na miji yake wako mbele sana kuliko sisi wao wamekosa bahari tuu lakini wspo mbele sana hao wanaotuimbia kuwa Congo n Vita aisee wanatudaganya sana kumbe Vita ipo sehemu fulan tuu ya Congo nasio Congo yote.

Justine Marack lete vitu ndugu yangu
 
Hamna bana kafuta
Screenshot_20230130-184937.png
Screenshot_20230130-184904.png
9
Screenshot_20230130-184853.png
 
Okay nimekupata. Lakini ukisoma reply yako #245 chini kuna picha nyingi zimeshikana na hazfunguki. Soma namba #15 uone kama kuna picha halafu ulinganishe na yako #245. Hapo ndo ukakasi ulipojitokeza. Nadhani utanielewa.
Wakati nacopy nicopy uwanja mzima na ndio nikaanza kufuta yasiofaa hzo video na picha ukiendelea kufungua page utakutana nazo pia hyo video n mtu alishea mji wa Goma
 
Story za ukwel hua na mafunzo sio Yale mastory ya kuburudisha ...jamaa kanipa somo sio kila mwanAmke Ni wa kumla kimasihara yeye yuko kikazi .ujasiri wa kuchukua chumba kingine na kuacha mwanamke chumba kingine .
Mkuu na nimepiga screenshots kutoka YouTube hizi picha ni za juzi hapo Kitchanga mwamba mleta mada alipolala pekee yake kwa kutaa kulala na huyo demu.
Screenshot_20230130-024818.jpg
 
Back
Top Bottom