Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,623
- 2,892
Nimepiga Sana mishe hayo maeneo yote.Kwahiyo kule ukipeleka chumvi unapiga hela?
Tisa 10, samaki ndiyo wanasoko Sanaa.
Samaki ambao kaliua utawapata wa laki 3 Congo ukiuza utapata si chini ya 2M