Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Tuondoke wote mkuu bongo nyoso, nilipofikia hapa inatosha nikipata kampani nasepa aisee, get rich or die trying..
Safari njema..mkipata mje mniuzie hizo 1.5kg Gold
 
Ila amani ya DRC inachafuliwa na nchi za magharibi kwa kuwatumia vibaraka vyao kama Rwanda maana haiwezekani Congo Brazaville kuwe na amani halafu jirani zao Congo Kinshasa vita kila siku hasa miji iliyo karibu na Rwanda na hapa mleta uzi ameshasema miji mingi waliyopita wamejaa Watutsi na Wahutu so hawa jamaa sio watu wazuri kabisa ile genocide ni kama imewapa laana wanawaza kuuana na kuua tu muda wote.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mzee wakaz uzi wako ulikua wa moto sana nilikua nafatilia herufi kwa herufi nukta kwa nukta ulaibu flani ivi mara ghafla ghafla ghaflaaaa wakakuroga ukaingia miti nkasema dah kweli kizuri hakidumu 😁😁
 
Congo kwenye vita ni mashariki, pande zingine za Congo ni mauno tu na bata
 
Aisee nimecheka sana kwenye coment deep pond kaambiwa kazi ya duka ni ya kimama, wakati jamaa ana stress za mchepuko, pole jamaangu. Alafu kupitia comments nimejua watanzania ni wajuaji sana aisee, yan mara jamaa katekwa mara jamaa kapigwa za kichwa yan tafrani... Wakuu kuwen na subira jamaa atakuja tu na mwendelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…