Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Mkuu please skiendelea na simulizi ni tag
 
Mzee wakaz uzi wako ulikua wa moto sana nilikua nafatilia herufi kwa herufi nukta kwa nukta ulaibu flani ivi mara ghafla ghafla ghaflaaaa wakakuroga ukaingia miti nkasema dah kweli kizuri hakidumu 😁😁
🤣🤣🤣🤣 Nitamalizia ndugu yangu. Nisamehe bure.
 
Huyu mleta story kipind anaandika labda alikuwa bado hajafka tz, itakuwa yupo anahojiwa border na wanyarwanda bado ,ngoja tumsubir amalizane nao tuendelee na story
 
Nitairudia baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…