Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwny mabomu wapi mtu Yuko anapigwa zake blowjob huko.Me nashangaa watu hata kama jamaa yupo kwenye mabomu wanataka story iendelee
Wap amesema yupo uwanja wa vita.. embu angalia apo kwenye alama kama ni kitu cha leo.. inaonekana wewe hata kusoma kwako ni changamotoMsimuliaji yupo huko uwanja Kivita alipopata muda wake mchache akaone asimulie alichokutana nacho.
Wewe ukishashiba tambi wakati unaanza kubeua unataka story iwe tayari ili uwe unasoma huku unabeua. Vizuri.
Hiyo Mwaka juzi ni alipoingia Uvira kwani amesema amesharudi? au nina changamoto ya kusoma kweli kama ulivyosema mkuu?Wap amesema yupo uwanja wa vita.. embu angalia apo kwenye alama kama ni kitu cha leo.. inaonekana wewe hata kusoma kwako ni changamoto
Banabidam banapenda raha .we naonalaa jamaa anahadisia mu ak 47 kulia kama pikipik tena unataka na unafos muendelezo.we uamweza?Msimuliaji yupo huko uwanja Kivita alipopata muda wake mchache akaone asimulie alichokutana nacho.
Wewe ukishashiba tambi wakati unaanza kubeua unataka story iwe tayari ili uwe unasoma huku unabeua. Vizuri.
😂😂😂😂😂😂😂Kwny mabomu wapi mtu Yuko anapigwa zake blowjob huko.
???Banabidam banapenda raha .we naonalaa jamaa anahadisia mu ak 47 kulia kama pikipik tena unataka na unafos muendelezo.we uamweza?
Oya Mwamba kitabu chako kwenye Avatar nimekipenda niuzie Mwamba.Fact!!!!
watu wana kazi zao usiwapangie cha kupost ,kama wewe huna kazi ya kufanya muda wote upo humu jitafakari.JF ingeweka kanuni ili mtu akishindwa kufanya muendelezo wa simulizi yake ndani ya saa 24 inafutwa.
Yes,iliyobaki akahadithie wanae!
Umeambiwa profile yake inaonesha anakuwa ame-log in Jf kila mara.watu wana kazi zao usiwapangie cha kupost ,kama wewe huna kazi ya kufanya muda wote upo humu jitafakari.
Kwa huyo dada mhiriri amefanya yakeUngekua kijana wa hovyo Kama mzabzab , yule dada ulieuza nae samaki,mkalala wote mgahawani, ungeshamuomba Mbususu[emoji38]
Goma tulipotokea Wagoma ni tofauti na hiyo Goma ya Kivu kaskazini,Jina Kigoma ndio limetokana na jina Goma, zamani katika miaka ya 1600 pamoja na makabila mengi ya kimanyema kuna kabila moja la wamanyema Walitokea huko Goma na kuhamia Lwama/Bugoi (majina ya zamani ya mkoa wa kigoma) walipofika ujiji na kuishi hapo ndipo jina la Ki-Goma likapatikana kutokana na hilo kabila la Wagoma kutoka Goma.
Mwenyewe nakitafuta mkuu wangu. Am sorry sina.Oya Mwamba kitabu chako kwenye Avatar nimekipenda niuzie Mwamba.