Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Aisee nimecheka sana kwenye coment deep pond kaambiwa kazi ya duka ni ya kimama, wakati jamaa ana stress za mchepuko, pole jamaangu. Alafu kupitia comments nimejua watanzania ni wajuaji sana aisee, yan mara jamaa katekwa mara jamaa kapigwa za kichwa yan tafrani... Wakuu kuwen na subira jamaa atakuja tu na mwendelezo
Mbona sijatajwa jina mkuu[emoji1787]
 
Aisee nimecheka sana kwenye coment deep pond kaambiwa kazi ya duka ni ya kimama, wakati jamaa ana stress za mchepuko, pole jamaangu. Alafu kupitia comments nimejua watanzania ni wajuaji sana aisee, yan mara jamaa katekwa mara jamaa kapigwa za kichwa yan tafrani... Wakuu kuwen na subira jamaa atakuja tu na mwendelezo
Seema mwamba Ni jasiri Sana aisee,
Kuna Watu Wana roho ngumu Sana mkuu[emoji4]
 
Goma tulipotokea Wagoma ni tofauti na hiyo Goma ya Kivu kaskazini,
Goma ya Wagoma ni Kivu kusini, Mwambao wa Zoni ya Fizi mpaka kaskazini ya Kalemi(Kabimba, Falls Bendera). Kwa kilugha hutamkwa G'oma(g'=voiced velar approximant), na siyo jina la eneo la kisiasa ni kama vile kusema Fipa=Wafipa, Manda=Wamanda, Buha=Waha n.k, pia kiasili lilikuwa ni jina la eneo kati ya vighuba vya Kasaba mpaka Yungu.
Aahh kumbe ndio Kigoma zimetoka Goma
 
Back
Top Bottom