Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Nilipanga nipige road trip kwenda Congo ila ya kule chini na sio huku juu.
 
Mkurya kamaliza story huko.
Nyingine hii hapa inakimbia siyo poa
 
Story za congo huwa hazifiki mwisho, tatizo nini?
Kuna moja ilikuwa inasisimua ya jamaa alikuwa anaendesha IT/ gari mpya binafsi za wateja toka bandari ya Dar wa salaam kwenda Congo ,yeye na jamaa alikuwa anaitwa Ramadhani , kama sikosei ,ile ilikuwa inasisimua kama movies aisee na mpaka iliisha.
Yule jamaa alikuwa vizuri kwenye kusimulia sana
Link hiyo , bonge moja la story ya kusisimua na jamaa alimaliza
,Kila siku jamaa alikuwa anashusha vitu ,wengine wanatekeleza story zao sijui wana matatizo gani

https://www.jamiiforums.com/threads/maisha-na-mikasa-ya-safari-yangu-nchini-dr-congo-miaka-ya-2000s-hadi-kutaka-kupigwa-risasi-hadharani.1867382/?amp=1
 
Mkurya kamaliza story huko.
Nyingine hii hapa inakimbia siyo poa
Upuuzi
 
Kuna moja ilikuwa inasisimua ya jamaa alikuwa anaendesha IT/ gari mpya binafsi za wateja toka bandari ya Dar wa salaam kwenda Congo ,yeye na jamaa alikuwa anaitwa Ramadhani , kama sikosei ,ile ilikuwa inasisimua kama movies aisee na mpaka iliisha.
Yule jamaa alikuwa vizuri kwenye kusimulia sana
Link hiyo , bonge moja la story ya kusisimua na jamaa alimaliza
,Kila siku jamaa alikuwa anashusha vitu ,wengine wanatekeleza story zao sijui wana matatizo gani

https://www.jamiiforums.com/threads/maisha-na-mikasa-ya-safari-yangu-nchini-dr-congo-miaka-ya-2000s-hadi-kutaka-kupigwa-risasi-hadharani.1867382/?amp=1
Naikumbuka ya yule man alianzia kuwa dereva tax. Nilishaisoma.
 
Back
Top Bottom