Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #161
Nimebeba NgurukaHongera sana kwa utalii wa ndani .. vipi hukufika kibiri kubeba migebuka kidogo ushee na wajumbe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimebeba NgurukaHongera sana kwa utalii wa ndani .. vipi hukufika kibiri kubeba migebuka kidogo ushee na wajumbe??
Pamoja sanaHongera Mkuu. Mpk nimetamani
Acha ukorofi, nimerudi Dodoma mara moja• aliyeko Dodoma tuonaneJe kuna part itayakayoonekana kwenye sredi ya Rikiboy?
Au hukuonja kabisa njia nzima?
Hahaahhaa sikula kabisa, mnara uligoma kabisa etiJe kuna part itayakayoonekana kwenye sredi ya Rikiboy?
Au hukuonja kabisa njia nzima?
Wala hakuna Cha kutisha MpwaUlitumia siku ngapi jumla ya kilom eter,bajeti ya mafuta tu ilikuwa sh ngapi lavda kesho ntaokota hela na mimi niingie road
Sio kweliSafari ndefu kama hizo inatakiwa pia uwe na hela ya kutosha,ili pale unapopumzika angalau ule,unywe na kulala vizuri...
TutamshtakiAlafu mtu mmoja aizungumzie ist vbaya
Pamoja sanaAisee!, Nimeipenda hii.
Mpaka nimepakumbuka Kasulu, Makere na Mvugwe.Pamoja sana
Nyakitonto, NyamidahoMpaka nimepakumbuka Kasulu, Makere na Mvugwe.
Hongera mwanaSimple sana yani lakini inatoa shule kubwa ukiwa barabarani
Mimi hua natoka na Starlet Karatu ambako ni kazini kwenda Mwanza ambako ni nyumbani kwangu, nenda rudi ya kila mwezi au baada ya miezi miwili,kiukweli usafiri binafsi unakupa uhuru na kutalii vyema sana,pia unakupa marafiki huko kwenye vituo unavyo amua kusimama kwa malazi au chakula,au kujifunza mambo kadhaa
Mimi nililima shamba Singida kwa kupewa ramani na mdada tu aliyeniuzia wali kuku kwenye mgahawa humo barabarani
Watu wanaweza kudhani ni anasa lakini ni sehemu ya kupanua mawazo kichwani