Safari yangu ya Elimu ilivyokuwa ngumu na kupata Zero mara tatu katika mtihani wa Kidato cha Nne

Zero 3 nimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kudadek zero ni donda la maisha haifutikagi...ila mkuu inabid uingizwe Guinness World Records 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sidhani Kama atarudi tena, kuja na story JF inabidi uwe na ngozi ngumu, kuna watu kazi yao kupinga tuuu hadi mtu ana kata tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…