Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Mnanichekesha bhana[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23]Uzi unasema ulipata 0x3. Itaendelea kwenda wapi sasa
Zero 3 nimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi.
Baada ya kusoma na kufika kidato cha Tatu kuelekea cha nne nilikwama Ada na hivyo kushindwa kuendelea na Masomo hakika Jambo hili lilini-affect kiakili sana.
Basi baada ya kukaa Nyumbani muda Mrefu niliwaza kusoma QT na hapo nyota yangu ya kupata Division Zero ndipo ilipoanza kuwaka.
Hivyo mwaka 2014 nikafanikiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne kama mtahiniwa wa Kujitegemea na hapo Ndipo napata zero yangu ya 35 kwa mara ya kwanza.
Baada ya Kupata zero ya kwanza nikapata Ushauri kuwa Ni re-sit tena Mwaka 2015 nikpata tena zero na hapo safari yangu ya Kumiliki cheti Cha kidato Cha nne ikakwama .
Tena mwaka 2016 nilifanya paper la form four na nikapata tena zero hivyo nikawa jumla nime-score zero 3 ndani ya miaka 03. Mfululizo.
Je, ilikuaje nikapata degree na hapa ndo ntaleta funzo kuwa Impossible is possible?
ITAENDELEA
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Uzi unasema ulipata 0x3. Itaendelea kwenda wapi sasa
[emoji28]Sidhani Kama atarudi tena, kuja na story JF inabidi uwe na ngozi ngumu, kuna watu kazi yao kupinga tuuu hadi mtu ana kata tamaa