Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada umenitisha sana sana nikajua umeamua kwenda CCM! Achana na hao watu usiogope, Shika sana ulichonacho asije mtu akaichukua taji yako....Revelation 3:....Jana nilipanda treni kwa safari ya masaa manne. Mlangoni alikuwepo mhudumu na kipima joto na kuhakikisha wote tuna barakoa kabla ya kuingia ndani pia kulikua na meza yenye sanizer pembeni.
Tuliambiwa tukae mbali na abiria wengine la kama mmetoka nyumba moja mnaweza kukaa pamoja. Sasa alikuja mwanaume mmoja aliomba ku charge simu kwani nilipokaa kulikuwa na socket ambayo sikuitumia.
Alisema ni muhimu awe na simu kwani kuna maombi anaendelea nayo kupitia You Tube. Niliposikia maombi nilimdadisi zaidi, alisema ni maombi ya Bhudaism. Nilimuuliza wewe ni Bhuddist? Alisema yeye hana dini ingawa alizaliwa Mkristu wa Anglicana na kupata sakramenti zote.
Wakati huo maongezi yetu ya yamekolea na barakoa tumeziweka videvuni, alisema baada ya kuzunguka dunia kikazi amegundua nguvu ya sala na maombi ya dini nyingine ambazo wala hazina uhusiano na Yesu. Anaamini kuwa kuna Mungu na anaamini jua lina nguvu sana. Aliniambia kuna ibada inayohusisha jua na ukimaliza hiyo ibada unaweza usilale kwa masaa 72, unakuwa na nguvu za ajabu.
Kwakweli nilimueleza kwangu mimi Ukristu nimerithi kutoka kwa wazazi. Kama walionileta duniani wameishi kwa imani hiyo na kunifundisha mema kwenye muongozo huo sioni sababu ya kuachana nao, pia mimi binafsi umenijenga kumjua Mungu na maombi.
Mwisho wa safari yetu tuliagana. Nilijifikira sana nikiwa nyumbani kuwa Yesu alisema yeye ni njia ya kweli, sasa hawa wanaoabudu kupitia jua siku ya hukumu itakuwaje kwao?
Hao achana nao wewe gonga injili tu, binafsi mimi nimeziona nguvu za Yesu Kristo na ukizilitea mchezo tu unapata adhabu kali sana.Jana nilipanda treni kwa safari ya masaa manne. Mlangoni alikuwepo mhudumu na kipima joto na kuhakikisha wote tuna barakoa kabla ya kuingia ndani pia kulikua na meza yenye sanizer pembeni.
Tuliambiwa tukae mbali na abiria wengine la kama mmetoka nyumba moja mnaweza kukaa pamoja. Sasa alikuja mwanaume mmoja aliomba ku charge simu kwani nilipokaa kulikuwa na socket ambayo sikuitumia.
Alisema ni muhimu awe na simu kwani kuna maombi anaendelea nayo kupitia You Tube. Niliposikia maombi nilimdadisi zaidi, alisema ni maombi ya Bhudaism. Nilimuuliza wewe ni Bhuddist? Alisema yeye hana dini ingawa alizaliwa Mkristu wa Anglicana na kupata sakramenti zote.
Wakati huo maongezi yetu ya yamekolea na barakoa tumeziweka videvuni, alisema baada ya kuzunguka dunia kikazi amegundua nguvu ya sala na maombi ya dini nyingine ambazo wala hazina uhusiano na Yesu. Anaamini kuwa kuna Mungu na anaamini jua lina nguvu sana. Aliniambia kuna ibada inayohusisha jua na ukimaliza hiyo ibada unaweza usilale kwa masaa 72, unakuwa na nguvu za ajabu.
Kwakweli nilimueleza kwangu mimi Ukristu nimerithi kutoka kwa wazazi. Kama walionileta duniani wameishi kwa imani hiyo na kunifundisha mema kwenye muongozo huo sioni sababu ya kuachana nao, pia mimi binafsi umenijenga kumjua Mungu na maombi.
Mwisho wa safari yetu tuliagana. Nilijifikira sana nikiwa nyumbani kuwa Yesu alisema yeye ni njia ya kweli, sasa hawa wanaoabudu kupitia jua siku ya hukumu itakuwaje kwao?
Jana nilipanda treni kwa safari ya masaa manne. Mlangoni alikuwepo mhudumu na kipima joto na kuhakikisha wote tuna barakoa kabla ya kuingia ndani pia kulikua na meza yenye sanizer pembeni.
Tuliambiwa tukae mbali na abiria wengine la kama mmetoka nyumba moja mnaweza kukaa pamoja. Sasa alikuja mwanaume mmoja aliomba ku charge simu kwani nilipokaa kulikuwa na socket ambayo sikuitumia.
Alisema ni muhimu awe na simu kwani kuna maombi anaendelea nayo kupitia You Tube. Niliposikia maombi nilimdadisi zaidi, alisema ni maombi ya Bhudaism. Nilimuuliza wewe ni Bhuddist? Alisema yeye hana dini ingawa alizaliwa Mkristu wa Anglicana na kupata sakramenti zote.
Wakati huo maongezi yetu ya yamekolea na barakoa tumeziweka videvuni, alisema baada ya kuzunguka dunia kikazi amegundua nguvu ya sala na maombi ya dini nyingine ambazo wala hazina uhusiano na Yesu. Anaamini kuwa kuna Mungu na anaamini jua lina nguvu sana. Aliniambia kuna ibada inayohusisha jua na ukimaliza hiyo ibada unaweza usilale kwa masaa 72, unakuwa na nguvu za ajabu.
Kwakweli nilimueleza kwangu mimi Ukristu nimerithi kutoka kwa wazazi. Kama walionileta duniani wameishi kwa imani hiyo na kunifundisha mema kwenye muongozo huo sioni sababu ya kuachana nao, pia mimi binafsi umenijenga kumjua Mungu na maombi.
Mwisho wa safari yetu tuliagana. Nilijifikira sana nikiwa nyumbani kuwa Yesu alisema yeye ni njia ya kweli, sasa hawa wanaoabudu kupitia jua siku ya hukumu itakuwaje kwao?
Kila mmoja atahukumiwa kwa mujibu wa uelewa wake juu ya imani na jinsi alivyoiishi.
Facts.Kila mmoja atahukumiwa kwa mujibu wa uelewa wake juu ya imani na jinsi alivyoiishi.
Akili kubwa km yako,bht mbaya wengi HAWANA....Safari ya masaa 4 (a 4 hrs journey???), kutoka wapi hadi wapi??, au SGR imeanza kazi??.
Juu ya yote ni Mungu pekee ndiye ukimuomba kwa dhati anaweza kukuongoza katika njia yake sahihi, usifuate njia uliyorithi kutoka kwa wazazi wako kwani siku ya hukumu kila mmoja ataulizwa kile alichofanya, pia kumbuka hao wazazi wako pia nao wana wazazi wao (Bibi na babu yako), sasa kama kila mtu atamtegemea mzazi wake kwa wema au ubaya aliofanya utakuta kwamba wale wazazi wa kwanza kuumbwa ndio watakuwa "responsible".
Kuna bwana mmoja ambaye alifanya maombi haya kwa Mungu akitafuta njia ya haki alisema: " Ewe Mungu wangu nakuomba unionyeshe njia ya haki usiponionyesha basi mimi nitakulaumu siku ya kiyama"---- huyo baadaye aliona njia ya haki na akakiri kwamba Mungu alisikia maombi yake.
Nilimjibu kutokana na mapokeo yangu ya dini si kuwa siamini lakini safari ilianza kwenye urithi na huko mbele nimejifunza na kuona niko kwenye njia sahihi.Naanza kuwaza tofauti, kumbe wewe pia huwezi kusimamia unachokiamini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa kuzaliwa kwenye imani unakuwa na watu wanaoielewa na kukupa muingozo pale unapokuwa na maswali. Kutokana na mafunzo na kuamini u Kristu ndiyo maana bado Nina imani yangu.Safari ya masaa 4 (a 4 hrs journey???), kutoka wapi hadi wapi??, au SGR imeanza kazi??.
Juu ya yote ni Mungu pekee ndiye ukimuomba kwa dhati anaweza kukuongoza katika njia yake sahihi, usifuate njia uliyorithi kutoka kwa wazazi wako kwani siku ya hukumu kila mmoja ataulizwa kile alichofanya, pia kumbuka hao wazazi wako pia nao wana wazazi wao (Bibi na babu yako), sasa kama kila mtu atamtegemea mzazi wake kwa wema au ubaya aliofanya utakuta kwamba wale wazazi wa kwanza kuumbwa ndio watakuwa "responsible".
Kuna bwana mmoja ambaye alifanya maombi haya kwa Mungu akitafuta njia ya haki alisema: " Ewe Mungu wangu nakuomba unionyeshe njia ya haki usiponionyesha basi mimi nitakulaumu siku ya kiyama"---- huyo baadaye aliona njia ya haki na akakiri kwamba Mungu alisikia maombi yake.
mimi mwenyewe nimefahamu kuwa ni kitu bora
Wewe pia tafakari vizuri, kwa viashiria vichache tu, upo katika dini ya wanadamu, iliyojaa uongo, hadaa na vitisho. Karibu katika ile dini ya kweli na uweze kuipata ile nuru.Habari sky, nakushauri tafakari zaidi na pia muombe sana muumba wako akuonyeshe njia sahihi ya kumwabudia, kuwa huru uitafute haki ya kweli.
Kanuni ya kwanza ya dini yao ni Upendo, pili mtendee mwenzako vile ambavyo ungependa utendewe.
Yesu ni Njia, Kweli na Uzima!Jana nilipanda treni kwa safari ya masaa manne. Mlangoni alikuwepo mhudumu na kipima joto na kuhakikisha wote tuna barakoa kabla ya kuingia ndani pia kulikua na meza yenye sanizer pembeni.
Tuliambiwa tukae mbali na abiria wengine la kama mmetoka nyumba moja mnaweza kukaa pamoja. Sasa alikuja mwanaume mmoja aliomba ku charge simu kwani nilipokaa kulikuwa na socket ambayo sikuitumia.
Alisema ni muhimu awe na simu kwani kuna maombi anaendelea nayo kupitia You Tube. Niliposikia maombi nilimdadisi zaidi, alisema ni maombi ya Bhudaism. Nilimuuliza wewe ni Bhuddist? Alisema yeye hana dini ingawa alizaliwa Mkristu wa Anglicana na kupata sakramenti zote.
Wakati huo maongezi yetu ya yamekolea na barakoa tumeziweka videvuni, alisema baada ya kuzunguka dunia kikazi amegundua nguvu ya sala na maombi ya dini nyingine ambazo wala hazina uhusiano na Yesu. Anaamini kuwa kuna Mungu na anaamini jua lina nguvu sana. Aliniambia kuna ibada inayohusisha jua na ukimaliza hiyo ibada unaweza usilale kwa masaa 72, unakuwa na nguvu za ajabu.
Kwakweli nilimueleza kwangu mimi Ukristu nimerithi kutoka kwa wazazi. Kama walionileta duniani wameishi kwa imani hiyo na kunifundisha mema kwenye muongozo huo sioni sababu ya kuachana nao, pia mimi binafsi umenijenga kumjua Mungu na maombi.
Mwisho wa safari yetu tuliagana. Nilijifikira sana nikiwa nyumbani kuwa Yesu alisema yeye ni njia ya kweli, sasa hawa wanaoabudu kupitia jua siku ya hukumu itakuwaje kwao?
Basi endelea kusimama kwenye imani yako manka!Hapana
Ila kwa Yesu ni kugumu wadau.Tuwe wakwel.Mi mwenyewe nimeokoka na namuamini Mungu ila dah kuna time unajikuta tu ushachanganya "makaratee" mengine ya "kimaghumashi" ilimradi life lisonge.
Ila naamin Mungu ananipenda hivyo hivyo.
Ntafanyaje sasa????