Safari yangu ya jana imenisaidia kuitafakari imani yangu kwa dakika kadhaa

Jana nilipanda treni kwa safari ya masaa manne. Mlangoni alikuwepo mhudumu na kipima joto na kuhakikisha wote tuna barakoa kabla ya kuingia ndani pia kulikua na meza yenye sanizer pembeni.

Tuliambiwa tukae mbali na abiria wengine la kama mmetoka nyumba moja mnaweza kukaa pamoja. Sasa alikuja mwanaume mmoja aliomba ku charge simu kwani nilipokaa kulikuwa na socket ambayo sikuitumia.

Alisema ni muhimu awe na simu kwani kuna maombi anaendelea nayo kupitia You Tube. Niliposikia maombi nilimdadisi zaidi, alisema ni maombi ya Bhudaism. Nilimuuliza wewe ni Bhuddist? Alisema yeye hana dini ingawa alizaliwa Mkristu wa Anglicana na kupata sakramenti zote.

Wakati huo maongezi yetu ya yamekolea na barakoa tumeziweka videvuni, alisema baada ya kuzunguka dunia kikazi amegundua nguvu ya sala na maombi ya dini nyingine ambazo wala hazina uhusiano na Yesu. Anaamini kuwa kuna Mungu na anaamini jua lina nguvu sana. Aliniambia kuna ibada inayohusisha jua na ukimaliza hiyo ibada unaweza usilale kwa masaa 72, unakuwa na nguvu za ajabu.

Kwakweli nilimueleza kwangu mimi Ukristu nimerithi kutoka kwa wazazi. Kama walionileta duniani wameishi kwa imani hiyo na kunifundisha mema kwenye muongozo huo sioni sababu ya kuachana nao, pia mimi binafsi umenijenga kumjua MSkyEscaletaombi.

Mwisho wa safari yetu tuliagana. Nilijifikira sana nikiwa nyumbani kuwa Yesu alisema yeye ni njia ya kweli, sasa hawa wanaoabudu kupitia jua siku ya hukumu itakuwaje kwao?
Wanakwenda motoni mama,hakuna shortcut,ni lazima wamuamini Bwana Yesu.Their only chance ni kama hawajawahi kumsikia Bwana Yesu kabisa na kumkataa.Bwana Yesu ndiye "njia,kweli na uzima." Notice the word "kweli".This means that any teaching outside of Jesus Christ is heresy,kwa kuwa haiwezi kukuonyesha njia wala kukuhakikishia uzima wa milele.

Further more Sky Eclat,dini yako si kitu,hata ingekuwa nzuri vipi.Bwana Yesu hakuleta dini,ameleta wokovu,so believe in his salvation plan and you are promised salvation.What does this tell you.It tells you that religion is not inherited from parents,because it is fake after all and is not based on biblical teachings. Religion is a man's invention,it has nothing to do with God.
 
Tatatizo kubwa duniani ni dini mbili..Wakristo na Waislamu wanajina wao ndio wako sahihi kuliko Dini nyingine yotote ilhali kiuhalisia ndio dini mbili zilizo na zinazosababisha Vurugu duniani!
 
Mkuu wewe una mtizamo upi,dini kaleta Mungu au ni creation ya Wanadamu wakishirikiana na Shetani?
 
Jana nilipanda treni kwa safari ya masaa manne. Mlangoni alikuwepo mhudumu na kipima joto na kuhakikisha wote tuna barakoa kabla ya kuingia ndani pia kulikua na meza yenye sanizer pembeni.

Tuliambiwa tukae mbali na abiria wengine la kama mmetoka nyumba moja mnaweza kukaa pamoja. Sasa alikuja mwanaume mmoja aliomba ku charge simu kwani nilipokaa kulikuwa na socket ambayo sikuitumia.

Alisema ni muhimu awe na simu kwani kuna maombi anaendelea nayo kupitia You Tube. Niliposikia maombi nilimdadisi zaidi, alisema ni maombi ya Bhudaism. Nilimuuliza wewe ni Bhuddist? Alisema yeye hana dini ingawa alizaliwa Mkristu wa Anglicana na kupata sakramenti zote.

Wakati huo maongezi yetu ya yamekolea na barakoa tumeziweka videvuni, alisema baada ya kuzunguka dunia kikazi amegundua nguvu ya sala na maombi ya dini nyingine ambazo wala hazina uhusiano na Yesu. Anaamini kuwa kuna Mungu na anaamini jua lina nguvu sana. Aliniambia kuna ibada inayohusisha jua na ukimaliza hiyo ibada unaweza usilale kwa masaa 72, unakuwa na nguvu za ajabu.

Kwakweli nilimueleza kwangu mimi Ukristu nimerithi kutoka kwa wazazi. Kama walionileta duniani wameishi kwa imani hiyo na kunifundisha mema kwenye muongozo huo sioni sababu ya kuachana nao, pia mimi binafsi umenijenga kumjua Mungu na maombi.

Mwisho wa safari yetu tuliagana. Nilijifikira sana nikiwa nyumbani kuwa Yesu alisema yeye ni njia ya kweli, sasa hawa wanaoabudu kupitia jua siku ya hukumu itakuwaje kwao?
Utumwe mtu aliyefundishwa wema na wewe umo!
 
Njia ile ni nyembamba iendayo uzimanii
 
Ila kwa Yesu ni kugumu wadau.Tuwe wakwel.Mi mwenyewe nimeokoka na namuamini Mungu ila dah kuna time unajikuta tu ushachanganya "makaratee" mengine ya "kimaghumashi" ilimradi life lisonge.
Ila naamin Mungu ananipenda hivyo hivyo.
Ntafanyaje sasa????
Hahaaa..kweli ndio maana anasema ufalme wa mungu unatekwa na wenye nguvu..you real need to fight..work hard ili kuziona baraka za mungu! Wengi hatujui tunazani ukishamkiri kristo mambo mtelezo..hapana...inabidi uijue imani..na utaijua kupitia neno lake na kulifanyia kazi. Wengi waenda church but dont work hard kulifanya neno lake ambalo mara zote huwa ni mtihani...kwa kuwa neno lake ni haki..na sie kufanya haki ni ngumu...neno linataka ujikane matakwa yako binafsi..hapo ndio nguvu inahitajika. Kuacha pombe..kutoa zaka fungu la kumu unapambana sana...wale tu watakaoshinda nafsi zao kwa kufanya vile neno.lataka..ndio wenye nguvu ambao baraka za mungu zitakuwa dhahili ktk maisha yao...hivo ndugu yangu kaza buti...mjue mungu na fanya mapenzi yake..utaona baraka zake
 
Jana nilipanda treni kwa safari ya masaa manne. Mlangoni alikuwepo mhudumu na kipima joto na kuhakikisha wote tuna barakoa kabla ya kuingia ndani pia kulikua na meza yenye sanizer pembeni.

Tuliambiwa tukae mbali na abiria wengine la kama mmetoka nyumba moja mnaweza kukaa pamoja. Sasa alikuja mwanaume mmoja aliomba ku charge simu kwani nilipokaa kulikuwa na socket ambayo sikuitumia.

Alisema ni muhimu awe na simu kwani kuna maombi anaendelea nayo kupitia You Tube. Niliposikia maombi nilimdadisi zaidi, alisema ni maombi ya Bhudaism. Nilimuuliza wewe ni Bhuddist? Alisema yeye hana dini ingawa alizaliwa Mkristu wa Anglicana na kupata sakramenti zote.

Wakati huo maongezi yetu ya yamekolea na barakoa tumeziweka videvuni, alisema baada ya kuzunguka dunia kikazi amegundua nguvu ya sala na maombi ya dini nyingine ambazo wala hazina uhusiano na Yesu. Anaamini kuwa kuna Mungu na anaamini jua lina nguvu sana. Aliniambia kuna ibada inayohusisha jua na ukimaliza hiyo ibada unaweza usilale kwa masaa 72, unakuwa na nguvu za ajabu.

Kwakweli nilimueleza kwangu mimi Ukristu nimerithi kutoka kwa wazazi. Kama walionileta duniani wameishi kwa imani hiyo na kunifundisha mema kwenye muongozo huo sioni sababu ya kuachana nao, pia mimi binafsi umenijenga kumjua Mungu na maombi.

Mwisho wa safari yetu tuliagana. Nilijifikira sana nikiwa nyumbani kuwa Yesu alisema yeye ni njia ya kweli, sasa hawa wanaoabudu kupitia jua siku ya hukumu itakuwaje kwao?
Ukigundua uwezo wa meditation kwenye hii dunia utaelewa mengi sana(Universal connection na pinal gland mnachoita third eye) , sidhani kama nitakosea nikisema dini ni moja tu nyingine ni life styles

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mkuu imani ni kitu cha pekee sana hata Shetani anaamini yeye ni Mungu sababu ya imani na anakua Mungu kweli kwa wale wasioamini.

Imani ukiwa na imani kwa jambo lolote unafanikiwa.

Lakini imani katika Kristo Yesu ni zaidi ya imani imekua ni Tunda la Imani kwa wakristo wamuaminio.
 
Hahaaa..kweli ndio maana anasema ufalme wa mungu unatekwa na wenye nguvu..you real need to fight..work hard ili kuziona baraka za mungu! Wengi hatujui tunazani ukishamkiri kristo mambo mtelezo..hapana...inabidi uijue imani..na utaijua kupitia neno lake na kulifanyia kazi. Wengi waenda church but dont work hard kulifanya neno lake ambalo mara zote huwa ni mtihani...kwa kuwa neno lake ni haki..na sie kufanya haki ni ngumu...neno linataka ujikane matakwa yako binafsi..hapo ndio nguvu inahitajika. Kuacha pombe..kutoa zaka fungu la kumu unapambana sana...wale tu watakaoshinda nafsi zao kwa kufanya vile neno.lataka..ndio wenye nguvu ambao baraka za mungu zitakuwa dhahili ktk maisha yao...hivo ndugu yangu kaza buti...mjue mungu na fanya mapenzi yake..utaona baraka zake
Ahsante.Najitahid. ila hapo kwenye 10% napo ni mbinde mkuu...yan kibarua haswaa ila it works uki manage kuwa mtoaji
 
Mi ujinga ujinga wa dini mara madhehebu sitaki kusikia kabisa, mi ninachojua kuna Mungu. Basi. Biashara sijui ya kwenda mbinguni kula asali na maziwa, mara utaenda kupewa malaika hurulaini 70 uwe unafanya nao mapenzi.. sitaki kusikia hayo mastory ya kutunga
 
Dini kaleta Mwanadamu. Shetani dhana tu iliyotengenezwa na mwanadamu mwenyewe.
Ni kweli dini kaleta mwanadamu,ila udanganyifu na mawazo hayo yalitoka kwa Shetani,ili aweze kutumia mgawanyiko huo as his devide and rule tool.

Furthermore,Shetani sio dhana aliyo itengeneza mwanadamu.Shetani ni a true spiritual being,kama walivyo malaika na Mungu mwenyewe.Naomba nikufahamishe pia kwamba sisi Wanadamu ni spiritual beings ambao tuna makao,ambayo ni miili yetu.

Also note that Shetani jina lake halisi ni Lucifer.Jina Shetani ni jina linalo akisi tabia yake ya uovu,lakini si jina lake halisi.

Mwisho,uovu na misuguano mingi unayo iona duniani on a greater part inaletwa na Shetani kutaka kupora mamlaka ya Mungu,ili yeye ajisimike kuwa Mungu.It's a war between good and evil.Vita hii ilianzia mbinguni where a virtual spiritial war happened, na Shetani aliposhindwa katika vita hiyo,akakimbilia duniani.

This war is not over yet.At some point Shetani na malaika zake waovu watakamatwa in another final battle and thrown in a Lake of Fire,where they will be tormented forever.In that Lake of Fire will also be thrown human beings, who refuse to accept Jesus Christ as their personal saviour.So if you have not accepted Jesus Christ as your personal saviour,you still have a chance.
 
Mi ujinga ujinga wa dini mara madhehebu sitaki kusikia kabisa, mi ninachojua kuna Mungu. Basi. Biashara sijui ya kwenda mbinguni kula asali na maziwa, mara utaenda kupewa malaika hurulaini 70 uwe unafanya nao mapenzi.. sitaki kusikia hayo mastory ya kutunga
Umelishwa matango mwitu sana mkuu pole.Ila ukweli halisi huu hapo chini👇.Ni comment ambayo niliipost kwa mtu ila,nadhani na wewe itakusaidia.Nime-copy na ku-paste.

It reads,"Ni kweli dini kaleta mwanadamu,ila udanganyifu na mawazo hayo yalitoka kwa Shetani,ili aweze kutumia mgawanyiko huo as his devide and rule tool.

Furthermore,Shetani sio dhana aliyo itengeneza mwanadamu.Shetani ni a true spiritual being,kama walivyo malaika na Mungu mwenyewe.Naomba nikufahamishe pia kwamba sisi Wanadamu ni spiritual beings ambao tuna makao,ambayo ni miili yetu.

Also note that Shetani jina lake halisi ni Lucifer.Jina Shetani ni jina linalo akisi tabia yake ya uovu,lakini si jina lake halisi.

Mwisho,uovu na misuguano mingi unayo iona duniani on a greater part inaletwa na Shetani kutaka kupora mamlaka ya Mungu,ili yeye ajisimike kuwa Mungu.It's a war between good and evil.Vita hii ilianzia mbinguni,where a virtual spiritial war happened, na Shetani aliposhindwa katika vita hiyo,akakimbilia duniani.

This war is not over yet.At some point Shetani na malaika zake waovu watakamatwa in another final battle and thrown in a Lake of Fire,where they will be tormented forever.In that Lake of Fire will also be thrown human beings, who refuse to accept Jesus Christ as their personal saviour.So if you have not accepted Jesus Christ as your personal saviour,you still have a chance."
 
Jana nilipanda treni kwa safari ya masaa manne. Mlangoni alikuwepo mhudumu na kipima joto na kuhakikisha wote tuna barakoa kabla ya kuingia ndani pia kulikua na meza yenye sanizer pembeni.

Tuliambiwa tukae mbali na abiria wengine la kama mmetoka nyumba moja mnaweza kukaa pamoja. Sasa alikuja mwanaume mmoja aliomba ku charge simu kwani nilipokaa kulikuwa na socket ambayo sikuitumia.

Alisema ni muhimu awe na simu kwani kuna maombi anaendelea nayo kupitia You Tube. Niliposikia maombi nilimdadisi zaidi, alisema ni maombi ya Bhudaism. Nilimuuliza wewe ni Bhuddist? Alisema yeye hana dini ingawa alizaliwa Mkristu wa Anglicana na kupata sakramenti zote.

Wakati huo maongezi yetu ya yamekolea na barakoa tumeziweka videvuni, alisema baada ya kuzunguka dunia kikazi amegundua nguvu ya sala na maombi ya dini nyingine ambazo wala hazina uhusiano na Yesu. Anaamini kuwa kuna Mungu na anaamini jua lina nguvu sana. Aliniambia kuna ibada inayohusisha jua na ukimaliza hiyo ibada unaweza usilale kwa masaa 72, unakuwa na nguvu za ajabu.

Kwakweli nilimueleza kwangu mimi Ukristu nimerithi kutoka kwa wazazi. Kama walionileta duniani wameishi kwa imani hiyo na kunifundisha mema kwenye muongozo huo sioni sababu ya kuachana nao, pia mimi binafsi umenijenga kumjua Mungu na maombi.

Mwisho wa safari yetu tuliagana. Nilijifikira sana nikiwa nyumbani kuwa Yesu alisema yeye ni njia ya kweli, sasa hawa wanaoabudu kupitia jua siku ya hukumu itakuwaje kwao?
Mkuu ni suala la uelewa tu. Hata wewe ibada ya jua inakuhusu, labda hujashtuka tu. Kama unasali siku ya jua-sun-day unaweza kusema hufanyi ibada ya jua kama huyo muungwana uliyekutana naye
kila la heri katika kujifufunza
 
Hahaaa..kweli ndio maana anasema ufalme wa mungu unatekwa na wenye nguvu..you real need to fight..work hard ili kuziona baraka za mungu! Wengi hatujui tunazani ukishamkiri kristo mambo mtelezo..hapana...inabidi uijue imani..na utaijua kupitia neno lake na kulifanyia kazi. Wengi waenda church but dont work hard kulifanya neno lake ambalo mara zote huwa ni mtihani...kwa kuwa neno lake ni haki..na sie kufanya haki ni ngumu...neno linataka ujikane matakwa yako binafsi..hapo ndio nguvu inahitajika. Kuacha pombe..kutoa zaka fungu la kumu unapambana sana...wale tu watakaoshinda nafsi zao kwa kufanya vile neno.lataka..ndio wenye nguvu ambao baraka za mungu zitakuwa dhahili ktk maisha yao...hivo ndugu yangu kaza buti...mjue mungu na fanya mapenzi yake..utaona baraka zake

Kwani pombe dhambi kwa wakristo ?
 
Kwani pombe dhambi kwa wakristo ?
Pombe si dhambi...bali ni kichocheo cha dhambi ..kwa.sababu kina kilevi ndani ake nakinatabia ya kucorrupt mind..yaani kinatoa uwezo wa self control.au uwezo wa kujizuia..au kuitisha nafsi..kumbuka mtu anapokosa self control..ni rahisi kutenda dhambi. Kilevi kinasifa hiyo...ila kama wewe kwako ni kama maji..na.mwisho wa siku huwazi mabaya wala kutenda mabaya...basi kwako si kichocheo..endelea kukata gembe😀😀
Mithali 23.20..litatoa onyo kwa kuonyesha madhara yake...so sio dhambi bali kichocheo!
Kwani pombe dhambi kwa wakristo ?
 
Back
Top Bottom