Safari yangu ya jana imenisaidia kuitafakari imani yangu kwa dakika kadhaa

Yote ktk yote,Yesu ndiye njia kweli na uzima! Mpende sana yeye na kumtiii,ndiye mlango wa kondoo,wengine ni wezi na wanyang'anyi.
 
Hapo ndipo mnapokoseaga,utamuabudu vipi mtu aliyeumbwa kama wewe,ambaye alikuwa anakula na kunywa na kwenda chooni
 
katika dini mi ni muislam lakin budhism ni dini naikubali sana.kwanini???ni ile lifestyle yao iliyojaa amani na busara!hawataki shari na mtu na huwa na vitu adim sana huwez kuvipata katika dini yoyote ile
 
Ni kilio na kusaga meno na siku ya mwisho Kwa YESU kila goti litapigwa
 
Binadamu tunadanganywa sana halafu ni wavivu wa kutafuta ukweli na maisha yetu hapa duniani ni mafupi sana
 
Dini ni utamaduni mf. Ukristu - Uyahudi, Uislamu - Waarabu nk. Nawe fuata utamaduni wako
 
Nimesulibiwa pamoja na Kristo, wala si mimi tena ninayeishi bali Kristo ndiye aishiye ndani
yangu. Uhai nilio nao sasa katika mwili, ninaishi kwa imani ya Mwana wa Mungu, aliyenipenda
na kujitoa kwa ajili yangu (Wagalatia 3:20).

Umethibitisha wapi?

Hii dini umerithi tu toka kwa wazazi wako.

Je umewahi kujifunza uislam ukajua wanachoamini?
 

Umethibitisha wapi?

Au kwakuwa tu umeaminishwa na familia uliyozaliwa?
 
Mitume wote walioletwa na Mungu,walikuwa wanaadamu,nao walikuwa na sifa zote za kibinaadam,ila wao waliwazidi watu wa kawaida kwa kuwa na zile sifa makhususi za Utume.Hawakuwa na ushirika kabisa katika Uungu,nao iliwabidi kumtaka msaada Mwenyezi Mungu kwa mahitaji yao yote
 
(Al-ANBIYAA 22) Lau kama wangalikuwako humo(mbinguni na ardhini)waungu (wengine) isipokuwa Mwenyezi Mungu: bila shaka zingeharibika (hizo mbingu na ardhi).Na ametakasika Mwenyezi Mungu Mola wa Arashi,(Yu mbali) na yale wanayomsifu kwayo.
 
Umethibitisha wapi?

Au kwakuwa tu umeaminishwa na familia uliyozaliwa?
Hapana, pamoja na kuzaliwa katika ukristo hiyo haimfanyi mtu kuwa mkristo wa kweli. Utakuwa mkristo wa kweli pale utakapoanza kumjua Yesu Kristo kwa undani na kuishi wokovu wake. Si jambo rahisi linahitaji neema za Mungu.
 
siku ya mwisho kila mtu ataenda kule anakoamini ila kuna wenine watalia tu hakuna namna
 
mambo ya imani yanaukakasi sanaa alafu sijui wapi ni sehemu ya ukweli maana kila mmoja anaamini kile alichoambiwa
 
Vipi mwisho wa Safar hakula tunda kimasihara?
 
Dini ni njia ya kumtafuta Mungu, watu wote watahukumiwa kwa matendo yao
 
Treni ya Nchi gani? Au tz wamefikia kiwango hicho kwa sasa kwenye utoaji wa huduma zao za usafiri wa treni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…