AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 1,020
- 2,422
Rejea hapa safari yangu hii ya kwenda Pemba kutafuta mganga wa kienyeji kwa ajili ya kunitibia.
www.jamiiforums.com
Sasa baada ya kushuka bandarini (Mkoani) nilipanda gari (coaster) ya kuelekea ChakeChake nikashuka na kupanda Matatu ya kuelekea Wete.
Niliamua kuunganisha gari kwa maana kutoka Mkoani (bandarini) to Wete moja kwa moja nauli ni 7000 au 6000.
Ila ukipanda bandarini na kushukia Chake ni 2000 kisha ukipanda gari ingine kuelekea Wete ni 2000.
Hvo unaokoa karibu 3000 au 2000 ya nauli.
Niliingia usiku hapo Wete na kwa kuwa sikuwa na mwenyeji niliamua kulala bandari ndogo ya wavuvi iliyopo gati la Wete.
Usiku ule ulikuwa mrefu kwani kuna mbu sana.
Na asubuhi kulipokucha nikaamua kutafuta mtu wa kunielekeza kwa mganga yeyote anayemfahamu.
Nilipata mwenyeji wa kiume na akanikaribisha kwake (alikuwa ana fremu kubwa ya kuuzia madera) nikapata hifadhi hapo.
Nilianza route Wete to Madenjani
Madenjani to Fukoni kupanda boti za Kojani.
To cut a story, kwa kuwa nilikaa wiki moja pale Wete kwa ajili ya tiba na pia kusubiri meli igeuke (ZanFast Ferry) nilijikuta nalala na yule mwenyeji wangu mpemba.
Hapa nilipo nina mimba ya mpemba na ina miezi 5 kasoro.
Nina uhakika ya kwake kwa maana tangu nimerudi sijawahi ingiliana na mtu bila kinga.
Mara ya mwisho niliwasiliana na huyu mtu akaniambia kama nina uhakika mimba ni yake, yuko tayari kuihudumia na kulea mtoto. Ila kama ninamdanganya ili nipate pesa kupitia yeye, basi kitakachonipata sitakuja kukisahau.
Jamani wanawake wenzangu tuwe na uvumilivu.
Usikubali kutapelika na kutoa penzi kisa kupata hifadhi.
Hii mimba nina uhakika ya huyu mpemba ila najuta kwani nilijaribu mara kadhaa kuichomoa na ilinigomea.
Namuonea huruma mpemba wa watu kwani licha ya biashara yake ya madera pia ni muuzaji maarufu wa Nazi hapo soko la Wete stendi.
Ananihudumia kiaina ila sikuwahi kurudi kwake zaidi ya kuongea WhatsApp video call na kuliona tumbo.
Nimeyabananga.
Safari yangu ya kwenda Kojani kwa mganga, imenirudisha na mimba juu.
Mtoto wa kipemba.
Nilitamani kupata mtoto ndio, ila mtoto anayekuja bila plan ni hatari zaidi.
Naumwa sana: Nimefika Pemba ili nitibiwe kienyeji, naombeni msaada wa Mtaalamu
Habari zenu. Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili. Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda huu. Nimeshuka mchana huu hapa Bandarini. Nimekuja kwa ajili ya kupata matibabu yangu binafsi. Kama...