mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
hapo sawa.sasa mwambie.akuoweNdio, nilipona kabisa
hapo sawa.sasa mwambie.akuoweNdio, nilipona kabisa
Muuzaji WA nyapu amevuka maji ili kwenda kupewa dawa ili wateja waongezeke 🔥 mganga akamwambia n lazima dawa ipakwe kwenye dyudyu asokomezewe 😂 dawa ya kwanza akifanyiwa blow job, ya pili ikazaa mimba hiyo 🔥Mkuu unajua huyu shangazi ni 35++ ila akili kama za binti wa form 2 😅😅 mtoto anazaliwa kisa one night stand na kinga hakutumia ukimwi hakosi huyu 🙂🙂 wa pumbavu nao huzeeka asee
Mtoto mtundu we 🔥Eti 35+
Kojoa ujitie madole kwenye kinyeo kisha ujinuse.
Kwahiyo hizo lodge mbili ulienda ukagomewa kulala kwa kuwa ulikuwa single?Nilikuwa najua na kwa kuwa nilijua nitafikia guest hvo suala hili sikulipa uzito sana.
Ila asikwambie mtu, Wete nzima kuna lodge 2 tu.
Moja ni ya Bandari chumba 35,000 zaidi ya kitanda na godoro hata feni wala tv hakuna na mbaya zaidi huwa kunafanyikaga ukaguzi kukagua kama uko single au lah! ( hii inasababishwa na wanawake wengi kwenda kufanya umalaya Wete)
Na ingine ipo karibu na msikiti mkuu mweupe Wete hii ukiwa single hupati huduma.
Lazima uwe na mwenzi na cheti/kiapo cha ndoa.
Hili nalo neno uraia wa Zanzibar ni sawa na uraia wa USA 🇺🇸 hasa ukiiiangazia katiba yetu.Ungekaa ukamzalia huko akawa na uraia pacha.....
🤣🤣🤣🤣🤣 Namuonea huruma huyo mtoto akija kujua jinsi alivyo patikana itakua ni huzuni 😅Muuzaji WA nyapu amevuka maji ili kwenda kupewa dawa ili wateja waongezeke 🔥 mganga akamwambia n lazima dawa ipakwe kwenye dyudyu asokomezewe 😂 dawa ya kwanza akifanyiwa blow job, ya pili ikazaa mimba hiyo 🔥
Kwani wanaelewa basiWasichana wengi mnapitia mambo mengi sana.
Nawashauri mabinti mnaoingia huku jf mpate ushahri huu. Tulia kwa wazazi, kwa dada, kwa Kaka, kama shemeji akikutaka mwambie mkewe nk.
Fanya biashara ndogo ndogo upate pesa ya vocha na Pichu.
Swali au sali achana na mapito ya tamaa za iphone 19. Kaa na kiswaswadu utanishukuru
Huyu mwanamke hana akili kabisa tena sio wiki moja ni siku mojaUnawezaje kuzoena na mtu ugenini wiki moja tu unatoa mzigo?? Au ulikuwa una mawasiliani nae hapo kable ya kufika wete