Kwani Tanzania na Zanzibar ni nchi 2?
Sawa mama hongera kwa kuongeza familiaHata nikikwambia haikusaidii chochote
Hapa una lako hakuna analofanya mpemba ambalo makabila 120 hayafanyi jaribu kuficha hisia kwenye story za kijamiiIshu ilikuwa umueleze Kwamba uko Kwenye siku zako za hatari, na huna mpango na mimba zisizotarajiwa, wapemba miyeyusho sana na ni wanafki, wanakaa nyuma ya kivuli cha dini na ni wajinga haswa. Anyway pia ni binadamu, ungeonyesha msimamo, Ila ndo hivyo ndoto yako ya kuzaa na mpemba imetimia.
SYote kwa yote,umerudi na kapu la mahogo-kivunde?Ulipan
Summary huyu ni mshirikina cause ameshapita kwa waganga wengi halafu ni malaya halafu hana pesa anapitia kugongea sasa ndugu yangu nani akuwache ulale bure inaonesha kutoa takrima hujaanza kwa mpemba hayo ndo maisha yako bi dada sio mbaya umeoewa mbegu shombe shombeSamahan inamaana ulilala nasalamia wema Kwa sababu ya kukupa makazi ya kulala?? Nimesoma vizur au macho yangu [emoji1][emoji1] ndo maana wanaume wanatudharau serious kwel daaah huyo mganga ulimpat la Sasa au ndo ukaishia Kwa mpemba
Yote kwa yote,umerudi na kapu la mahogo-kivunde?Ulipan
Napigilia msumariMwanamke akishaanza kufanya ngono huwa hana cha kupoteza
Kule kafaa chchte cha moto wanaita chombo utasikia chombo chako kipo wapi hahaaa raha cc mnazi mmoja cc kizingo cc mpendae cc mkoani cc wawi cc wateYote kwa yote,umerudi na kapu la mahogo-kivunde?Ulipan
Yote kwa yote,umerudi na kapu la mahogo-kivunde?Ulipanda chombo?
Wazee wa fixed na open questionnaireKwahiyo hizo lodge mbili ulienda ukagomewa kulala kwa kuwa ulikuwa single?
Au hukuwa na hiyo 35k!
Na ulilala na mpemba kisa hifadhi tu au alikubaka?
Wapemba wanafki kuliko watanzania wote na WA dini zote. Huu ni ukweli mtupu.Hapa una lako hakuna analofanya mpemba ambalo makabila 120 hayafanyi jaribu kuficha hisia kwenye story za kijamii
Amlinde mtoto tuu asije kuwa na tabia za kugawa kisamvu kama mamaake 😂na kisamvu ulimpa?